MWENYEKITI WA BARAZA LA WAZEE WILAYANI KAHAMA MZEE MASHAKA KAFUMU AKIONGEA NA WANANCHI WA KITONGOJI CHA LUGELA KATA YA NYAHANGA WILAYANI KAHAMA WAKILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KWA KUSHIDWA KUWASHIRIKISHA KATIKA MCHAKATO WA KUNGAWA MAENEO YAO BILA KUWASHIRIKISHA
MMOJA WA WANANCHI WA KITONGOJI CHA LUGELA ENG,JUSTINE MSOMI AKIONGEA MBELE YA TUME YA KAMATI UMOJA WA WAZEE WILAYA YA KATIKA MKUTANO WA KITONGOJI CHA LUGELA LEO ASUBUHI
MWENYEKITI WA BARAZA LA WAZEE MZEE MASHAKA KAFUMU AKISISITIZA SUALA AMANI NA KUPATA HAKI YAO YA MSINGI JUU YA MAENEO YAO
MMOJA WA KINAMAMA WA KITONGOJI CHA LUGELA AKISISITI SUALA KUVAMIWA NA HALMASHAURI MAENEO YAO BILA YA KUSHIRIKISHA UONGOZI WA KITONGOJI
habari
Habari Za Mastaa
Michezo
simulizi za kusisimua
Home
»
»Unlabelled
» WANANCHI WA KITONGOJI CHA LUGELA WALALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KAHAMA
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Post
-
HISTORIA YA MAREHEMU MCHUNGAJI MTIKILA, JINSI ALIVYOANZA SAFARI YA MAISHA YA SIASA TANZANIA MCHUNGAJI ...
-
Mjukuu Asia charles 12 akiwa na Bibi yake akilia huku asijui la kufanya baada ya bibi yake toka hospital na kuanguka chini Wasamar...
No comments: