KATIBU MKUU WA TAIFA WA CCM ABDULRAHMANI KINANA (MCC) AKIFUNGUA SINA LA WAKEREKETWA WA MKOMBOZI SACCOS LTD JANA10,9.2013 WILAYANI KAHAMA WAKATI WA ZIARA YAKE YA MKOA WA SHINYANGA AMBAYO ILIAZIA WILAYANI KAHAMA AKITOKEA MKOANI TABORA WILAYA NZEGA.
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA MH KHAMIS MGEJA MWENYE KOFIA KUSHOTO KATI NI MWENYEKITI WA CCM WILAYA KAHAMA MABALA MLOLWA MWENYE MIWANI NI MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ALLY NASSOR RUFUNGA JANA WAKIWA KATIKA KIJIJI CHA ISAKA KATA YA ISAKA WAKATI WAKIMSUBIRI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA ABDURALHAMANI KINANA.
KARIBU MKOANI SHINYANGA HAYO NDIYO MANENO YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA KHAMIS MGEJA WAKATI WA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA ABDURALHAMANI KINANA WAKATI WA KUINGIA MKOANI SHINYANGA.
KATIBU MKUU WA CCM ABDURALHMANI KINANA AKISALIMIANA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA JANA WAKATI WA ZIARA YAKE YA MKOA WA SHINYANGA ALIYOAZA JANA ALIMSHIKA MKONO NI AFISA UTUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI GUNDU MALULU
KATIBU MKUU WA TAIFA CCM AKISALIMIANA ANA AFISA USHIRIKA WA HALMASHAURI YA MJI MARCO NZINGULA JANA WAKATI WA ZIARA YAKE YA KWANZA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA.
KATIBU MUENEZI WA CCM TAIFA MOSES NAUNYE AKICHENZA NGOMA YA KISUKUMA YA MANZWEZI MWENYE KOFIA NA KIBUYU.
MWENYEKI WA CCM MKOA WA SHINYANGA MH KHAMIS MGEJA AKIUTUBIA JANA KATIKA VIWANJA YA POST KATA YA ISAKA NA MKUKARIBISHA MGENI RASMINI.
KATIBU MKUU WA CCM TAIFA ABDURLHAMANI KINANA AKISALIMIANA NA MKURUNGEZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA USHETU ESTABELA CHILUMBA
KATIBU MUENEZI WA CCM TAIFA MOSES NAUNYE WAKATI WA MKUTANO WA HADHARA JANA KWENYE VIWANJA VYA( CDT)
KATIBU MUENEZI WA CCM TAIFA MOSES NAUNYE AKISALIMIA NA DIWANI WA KATA YA MWENDAKULIMA KUPITIA CHAMA CHA TLP MTAMBO MAJAMBI
KATIBU MKUU WA TAIFA CCM ABDURLHAMANI KINANA AKIUTUMBIA MKUTANO WA HADHARA KWENYE VIWANJA VYA CTD MJINI KAHAMA
WANAWAKE WA MKOMBOZI SACCOS LTD WAKISALIMIANA NA KATIBU MKUU WA CCM JANA WAKATI WA UFUNGUZI WA SACCOS HIYO JANA
habari
Habari Za Mastaa
Michezo
simulizi za kusisimua
Home
»
»Unlabelled
» ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM MKOANI SHINYANGA
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Post
-
Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 aliyekatwa sehemu zake za siri (nyeti)Akiwa wodi katika hospital ya mkoa wa Tabora . MME AK...
No comments: