Askari kazu waliofika eneo la makaburi ambapo bint huyo aliuwa kinyama na watu wasifahamika Kumradhi kwa picha hizi
Askari akiangalia kwa makini mwili wa dada huyu ambaye ameuwa kikatili na watu wasifahamika kumradhi kwa picha hizi
kuradhizi kwa picha hizi hivi ndiyo bint wa watu alivyouwawa kinyama
hee mwenyezi mungu ilaze roho ya huyu dada peponi kuradhizi kwa picha hizi
.
Bint moja
kakutwa kauwawa maeneo ya mkaburi ya
kata ya nyatukala na maiti yake kuwachwa
pembezoni mwa kaburi.
Akitoa
tarifa mtendaji wa kata nyatukala.ambaye pia ni Diwani mh Adamu akisimulia
mkasa huo hali halisi juu ya mkasa huu alidai kuwa tukio hilo lilitokea siku ya
jumamosi kuamia jumapili ,anasema wao
walipata habari hizi siku ya jumapili.
Akifafanua
zaidi mh adamu alisema kuwa baada ya kuona hali hiyo walibidi wafanya masiliano
na jeshi la polisi ili wawenze kuja eneo hilo la tukio.
Aidha baada
ya kufika Askari hao eneo la tukio hilo na kuona mwili huo waligundua katika
mwili wake marehemu alipingwa na kitu kizito nyuma ya kisongo chake kichwani na
maeneo ya mabenga yake .
Mh Adamu
alizidi kusema kuwa kutokana na hali hiyo ya kuvuja damu nyingi ndiko
kumesababishwa Bint huyo kukutwa na mauti hayo .
Aidha
Mtendaji huyo amesema kuwa chanzo cha mauaji hayo nib ado ni kitendawili katika
kata hii na kusema kuwa chazo cha tukio hili halisi ni bado na jeshi la polisi
enaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
Mwisho
No comments: