MAELFU YA WAKAZI WA KAHAMA WAMPOKEA LEMBELI KAMA RAIS

 Moja wa mgombe wa kiti cha ubunge mjini shinyanga akiutumbia maelfu ya wakazi wa mji wa kahama . Mh lembeli akiutumbia maelfu ya wanachama wa chadema na wakazi wa mji wa kahama katika viwanja vya CDT .
 Mh lembeli akionyesha moja ya zana zake kama ishara ya ushindi katika jimbo jipya la kahama  huku umati mkubwa uliudhulia mkutano huo


 Mh lembeli akiwa na mama yake mzazi katika mkutano katika viwanja vya CDT na kusema mama yake awezi kuama ccm.
 Mama yangu karibu sana nawatakia kazi njema katika uchanguzi wenu alisema mama
Asante sana mama yangu kwa ujio wako 

 Endelea kufatilia matukio ya wangombe kupitia mtandao huu
MAELFU YA WAKAZI WA KAHAMA WAMPOKEA LEMBELI KAMA RAIS MAELFU YA WAKAZI WA KAHAMA WAMPOKEA LEMBELI KAMA RAIS Reviewed by Mohab Dominic on 02:12 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.