Mimi ni mtoto wa Mtemi Kishimba Nkandi kibela mzaliwa wa
kata ya zongomera ni mezaliwa mwaka 1958
Mimi ni mfanyabiashara ndani
na nje ya nchi lakini pia ni mwanachama mtiifu wa chama cha mapinduzi na
nimekuwa Nikishiriki shughuli za kijamii kama
ifuatavyo
A.
Ujenzi wa shule kishimba sekondari
B.
Ujenzi wa
shule sekondari ya zongomera (ISUNUKA)
C.
Shule ya msingi
Isagehe
D. Ujenzi wa shule ya msingi mpera
E.
Zahanati ya
zongomera
F.
Zahanati ya
isagehe.
G. Uchangiaji wa dawa kwa wagonjwa wasiojiweza katika
hospitali ya wilaya kahama.
H. Kusaidia kukomboa chama cha ushirika KACU na ginnery
ya Mhongolo kahama.
Ndugu wanachama wenzangu
naomba kura zote ili niweze kuleta maendeleo zaidi katina jimbo letu la kahama
mjini.
“KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI”
No comments: