By: Mohab Dominic
on 04:18
/
 |
baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa katika ukumbi wa kikao cha baraza la madiwani aliyeshika mkono kifuani ni mbunge viti maalum chadema salome makamba |
 |
wakuu wa idara wakiwa mbalimbali za halmashauri ya mji wakiimba wimbo wa taifa kabla ya baraza kuanza |
 |
Mh Mbunge viti maalum salome makamba akisikiliza majibu toka kwa mkurungezi wa mji EDSON MUSUMBA |
 |
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya mjin wa kahama |
 |
madiwani wakiwa katika kikao cha baraza wakisikiliza hoja za baadhi ya madiwani katika ukumbi wa halmashauri
KAHAMA
Wakuu wa idara wilayani
Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kujenga tabia za kuwatembelea madiwani na
kukusanya taarifa za maendeleo ya Miradi inayojengwa kama sehemu ya uwajibikaji
Rai hiyo imetolewa na
Mbunge wa jimbo la kahama Bw. Jumanne Kishimba wakati akitoa Mchango kwenye
kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Mji huo
Kishimba amesema kuna baadhi ya wakuu wa Idara
ambao wamekuwa wakiratibu na kuandaa
taarifa za ujenzi wa Miradi hiyo wakiwa Ofisini bila kuwashirikisha madiwani
Mbunge huyo amesema
jambo hilo siyo sahihi kwakuwa madiwani ndio wawakilishi wa wananchi hivyo
wanatakiwa kuhusishwa katika kuandaa na kutoa taarifa hizo.
|
Tag:
habari
matukio
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: