Baadhi ya Wabunge wametoka nje ya Bunge baada ya Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson
kuzuia Wabunge wasiendelee na kuomba mwongozo, Wabunge hao wakaamua
kutoka huku Bunge hilo likiendelea kujadili hotuba aliyotoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge hilo.
KUTOKA DODOMA KUMEKUCHA TENA ?????????????

No comments: