![]() |
Rais Magufuli leo July 25, 2017 ameendelea na ziara yake ambapo alikuwa katika Mkoa wa Singida alikozindua Barabara ya Manyoni – Itigi – Chaya yenye urefu wa km 89.3 ambapo mbali na kufanya uzinduzi huo alipata nafasi ya kuhutubia wananchi.
Nimekusogezea mambo 7 makubwa kati ya mengi aliyozungumza kwenye hotuba yake'Pengine nikiondoka mimi hakuna atakayekuwa
kama mimi, nasafisha njia ya Rais atakayekuja baada ya mimi'
Ni
lazima niyatapike yote haya, nikikaa nayo nitapata presha bure, ila wale
walioyafanya wakumbuke na madhambi yao'
Suala la ubinafsishaji mimi silipendi kabisa, siwezi nikawalaumu
waliofanya hivyo lakini pia siwezi nikaacha kusema' – 'Nataka Tanzania hii iwe kama Ulaya na
tutafika tu, lakini ili tufike huko ni lazima tutabanana kweli kweli'
Rais Wananchi
waliojenga kwenye hifadhi ya reli waanze kujiandaa kisaikolojia, wanaweza tu
kuanza kubomoa taratibu nyumba zao
Rais Niliporudishwa
wizara ya ujenzi nilimfukuza Chief Executive Officer ndani ya siku 3 kwa sababu
ya matumizi mabaya ya fedha'
Wengine mmewachagua lakini wanaongelea ya mambo
Dar es salaam tu kosea kuoa unaweza kutoa talaka lakini usikosee kuchagua -
Rais @MagufuliJP
|
TOP STORIES “Nikiondoka hakuna atakayekuwa kama mimi” – kauli 7 za Rais JPM Singida leo

No comments: