sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MATOKEO UBUNGE JIMBO LA USHETU NA MSALALA WILAYANI KAHAMA

 Msimamizi wa Tume ya uchaguzi Halmashauri ya msalala Mwenye kofia Patrick karangwa Akiangalia jinsi matokeo ya Ubunge yanavyoingizwa katika mfumo wa Mtandao kabla ya kutangaza Matokeo .
 Wasimamizi wa Uchaguzi jimbo la Msalala wakiwa katika kuhakiki Matokeo ya Wapiga kura jimbo la Msalala
Wasimamizi wa Tume ya uchaguzi wa Tunajumlisha Kura za jimbo la Msalala
 Tunaendelea Kupokea Matokeo
 Tunakusanya Matokeo jimbo la Msalala
 Mwanasheri wa Halmashauri ya Msalala Wakihakiki Matokeo ya kura Jimbo La Msalala
 Wasimamizi wakijaribu kuweka Mambo sawa ya matokeo ya Kura
 Wasimamizi wa Tume wakifanya Majumuisho ya Matokeo ya kura za jimbo la Msalala
 Mgombea wa jimbo la Msalala kupitia CCm Ezeikiel Maige Mwenye Tshet ya Mistali huku akiwaonyesha kidole Mwaandishi wa Mwanachi juu ya Kusubiri matokeo katika Viwanja Vya Halmashauri ya msalala
 Waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari wakiwa katika Ukumbi wa Halmashauri ya Msalala wakisubiri Matokeo.
 Tusubirini Tu matokeo
 Ilipofika majira ya saa 12 jioni Msimamizi wa Tume Ya Uchaguzi Patrick Kurangwa Alitangaza matokeo kwa Waandishi wa Habari
 Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la msalala Patrick Kurangwa alifafanua baadhi ya kasoro zilizijitokeza katika zoezi la upingaji wa kura .
 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Msalala Akiwa ofisi kwake Akieleza waanahabari hali ya Zoezi zima la Uchaguzi ilivyoendehwa kwa Utulivu na Amani
 Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Ushetu Isabela Chilumba akionea na Waandishi wa Habari juu ya kuchelewa kutolewa Kwa matokeo ya Uchaguzi Jimbo la Ushetu .

KAHAMA 
Tume ya uchaguzi imemtangaza Kwandikwa Elias  kuwa mbunge wa jimbo jipya la Ushetu akiwashinda wagombea wengine ambao ni Lubala Dotto wa ACT,Kitibu John wa NCCR Mageuzi na Isaya Bukakiye kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo Msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo Isabela Chilumba alisema Kwandikwa aliyekuwa akigombea kupitia chama cha Mapinduzi CCM ameshinda kwa kura 50365 sawa na asilimia 65.44 kati ya kura halali zilizopigwa 73101.


Wakati huohuo tume ya uchaguzi ilimtangaza Ezekiel Maige kupitia chama cha Mapinduzi kuwa Mbunge wa jimbo la Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga akiwashinda wagombea wengine Paul Malaika wa CHADEMA,Abeid Iheshi wa UPDP na Michael Sua wa ACT.

Maige alitangazwa kuwa mbunge na msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Patrick Karangwa kwa ushindi wa kura 36010 kati ya kura halali 57059 zilizopigwa huku Malaika Paul wa CHADEMA akipata kura 20124,Michael Sua wa ACT kura 674 na Abeid Iheshi akipata kura 251.


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply