sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » SHULE YA MSINGI MALUNGA KAHAMA WAKIBIDHIWA MADAWATI NA CRDB KAHAMA

 Walimu wa shule ya msingi malunga wakiwa na maofisa wa CRDB wilaya ya kahama Baada ya kukabidhiwa madawati ishirini na Bank ya CRDB nyenye Dhamani ya shilingi milioni moja na ishirini Elfu kwa uongozi wa shule na mbele ya mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa kahama
 Mwenye sharti la kitenge katika ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Felix kimaryo kusho ni maafisa wa Bank ya CRDB Bank mjini kahama Baada ya kukabidhiwa kwa  madawati ishirini
 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi malunga wakiwa wamekaa katika madawati ambayo yamefadhiliwa na Bank ya CRDB Mjini kahama kushotoni maafisa wa Bank hiyo
 Baadhi ya wanafunzi wakifurahi madawati kabla makabidhiano katika shule ya msingi malunga
 Mratibu wa Elimu kata ya malunga John Tumbo Akiwakaribisha mkurugenzi wa Halmashauri ya mjini na Meneja wa Bank ya CRDB Kabla ya mabidhiano kuazi katika shule hiyo
 Meneja wa Bank ya CRDB  Luther Mneney akisema jambo kuhusu msaada huu wa madawati kuwa madawati haya ni changamoto ya  tasisi  mbali mbali kuona ni njisi gani tunaweza kuwa kutoa misaada kwa jamii kama vile shule zetu hizi ambazo wanafunzi wengi wanakaa chini jambo ambalo litawenza kuinua Elimu ya watoto wetu
 Afisa Elimu wa shule za msingi Halmashauri ya mji wa kahama Aluko Aluko mwenye suti  Akitoa pongezi kwa Bank ya CRDB Kwa msaada wao wa madawati na kuomba pamoja na hicho kidogo tulichokipa tunashuru sana Bank hiyo ya CRDB kwa kuliona hilo na kuwa gusa jamii na kuakikisha kutunzwa kwa nguvu zao zote
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Felix kimaryo Alisimama akitoa shukurani kwa Bank ya CRDB kwa msaada wao wa madawati hayo ishirini siyo haba tunashukuru sana mimi binafisi sikutengemea jambo hili naomba sasa hata tasisi zingine za fedha kuinga mfano wa Bank ya CRDB
Meneja wa Bank ya CRDB Luther mneney Akimkabidhi mkurugenzi wa Halmashauri ya mjin wa kahama Felix Kimaryo jumla ya madawati ishirini nyenye dhamani ya shilingi milion moja na ishirini Elfu katika shule ya msingi malunga picha zote kwa hisa ya mohabmatukioblogsport.com

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply