sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » mashindano ya umiseta kahama

 Afisa Elimu wa shule za  Sekondary Halmashauri ya Mji wa kahama  Annastazia Manumbu Akifunga mashindano ya umiseta wilaya ya kahama katika viwaja vya veryboll mjini kahama baada ya kufanya michuano ya kutafuta kombaini ya umiseta ya wilaya ya kahama
 Afisa Elimu wa shule za  sekondary Annastazia Manumbu Akiwapongeza Vijana kuwapatia vinywaji ambao  walichanguliwa kutengeneza timu bora ya kahama  kwenda shinyanga kwenye mashindano ya umiseta mkoa wa shinyanga
 Baadhi ya timu ya isagehe na timu ya kishimba ambapo kishimba ilishinda isagehe kwa poit
 Wachenzaji wa timu ya kishimba na isagehe wakigombea mpira kuingia  ndani ya wavu
 Timu ya wanaume ya shule ya sekondary ya  kishimba wakiwa katika picha ya  pamoja kabla ya kuanza kwa mashindano ya umiseta wilaya ya kahama 
 Timu ya wanaume ya shule ya sekondary isagehe wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya pambano lao na shule ya sekondary ya kishimba
 Afisa Elimu wa sekondary Halmashaury ya mji wa kahama Annastazia Mnumbu, mwenye bagi na Mratibu wa mashindano ya umiseta wilaya ya kahama mwenye shati nyeupe
 Afisa Utamaduni wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Kambarange  kambarange Akiwapatia maelekenzo kabla ya safari ya kwenda shinyanga huko wanakwenda kushindana warundi na kombe na kusonga mbele na kuwacha kutoa rugha chafu katika mashindano hayo
Afisa Elimu wa  shule za sekondary  Annastazia Manumbu Akifunga mashindano ya umiseta wilayani kahama ambapo wachanguliwa wachenzaji kwenda shinyanga kuwakilisha wilaya ya kahama katika mashindano hayo makubwa kwa shule za sekondary nchini

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply