Hili ndiyo jengo la kanisa kwa mbele kama jinsi mafundi wanavyoendelea na kazi za ujenzi huo .
kina amama wakiwa katika ujenzi wa kanisa lao kwa kujitole kwa shughuli za ujenzi
kinamama wa kanisa la The international mountan lord ministry mjini kahama wakifanya kazi za kujitolea katika ujenzi wa kanisa hilo ambalo linatarajiwa kugharimu zaidi ya milioni 250 katika ujenzi huo.
Hili ndiyo kanisa The Internation mountani of ministry ambalo ujenzi wake unaendelea kwa kasi hivi sasa .
kanisa la sasa ambalo waumini wake wanasali kwa wakati huu .
Ujenzi kwa je ya jengo la kanisa .Ambapo baba Askof Esrom riziki akiangalia ujenzi wa kanisa lake .
Ndani ya jengo la kanisa
Baadhi ya mafundi wakiwa katika ukufunga nondo chini ya mwembe .
THE INTERNATIONAL MOUTAN OF THE LORD MINISTRY CHURCH (HUDUMA YA MLIMA WA MAKIMBILIO )UNDER THE BISHOP RIZIKI ESROM MAKANIKA.
KAWA HUDUMA ZA IMANI KANISA HILIPO MAENEO YA NYAHANGA KARIBU NA OFISI ZA HALMASHAURI YA MSALALA MJINI KAHAMA.
KWA MAWASILIANO
Mob.0756,94 9377,0784949477, email.rizikiesrom@gmail.com.
shinyanga ,tanzania
No comments: