Mkurungezi Mkuu wa shule ya AnderleckSekondary Alexander kazimiri akitoa hotuba kwa wangi waalikwa na wazazi wa watoto wanaotengemea kumaliza kidato cha 4.
Mgeni Rasmi mwenye skafu ya jano Afisa mkuu ugawaji Rasilimali mamlaka ya Elimu Tanzania Masozi Nyirenda .
Alexander kazimiri Mkurungezi mkuu wa Anderleck sekondary akiwa makini kusikiliza hotuba ya mgeni Rasmini kwenye Mahafali ya 12 ya shule hiyo .
Baadhi ya wageni walikwa na mgeni Rasmini .
kikundi cha bendi ya shule wakimba wimbo wa shule hiyo.
Baadhi ya wanafunzi wa kiume wakiwa makini wakisikiliza hotuba ya mgini Rasmin
Baadhi ya wanafunzi wa kike wakiwa makini kusikiliza hotuba ya mgeni Rasmin.
Mmoja ya vikundi vya utamanduni wakichenza ngoma na kuimba nyimbo mbalimbali za shule na nyingine
kikundi cha wanafuzi wakimba nyimbo ya kushukuru .
Vijana wa Anderleck sekondary wakimba nyimbo ya kanda bong man .
Mgeni Rasmi Akitoka katika ukumbi wa shule hiyo baada ya kumaliza shughuli za mahafari ya kumi na mbili ya shule hiyo .
Mgeni Rasmi Afisa mkuu ugawaji Rasilimali mamlaka ya Elimu Tanzania Masozi Nyirenda .
Meza kuuu wakisikilaza Hotuba ya mgeni Rasim
Baadhi ya Wadau wa Elimu wilaya ya kahama walikuwepo kama wanavyonekana kwenye picha ya pamoja .
Wazazi na wadau wa Elimu wakiwapongeza watoto wao shuleni hapo .
Picha ya pamoja na mgeni Rasmi
Wazazi wakifurahia vijana wao.
Vijana wa skauti wakimtoa mgeni Rasmini kumuanga nje ya ukumbi .
WATANZANIA
wametakiwa kurudisha utamuduni wa zamani wa kujisomea vitabu mbalimbali
kwa muda mwingi ili kuweza kuweza kuongeza maarifa pamoja na kuwa sambamba na mataifa
mengine na kufiti katika soko la Dunia kwa sasa.
Wito
huo umetolewa juzi na Mkurugenzi wa shule ya Sekondari ya Anderleck ya Mjini
Kahama Alexander Kazimiri katika mahafali ya 12 ya shule hiyo yaliofanyika
mjini Kahama huku wahitimu 158 wakihitimu kidato cha nne katika shule hiyo.
Kazimiri
alisema kuwa kwa sasa jamii nyingi za kitanzania hazina utamaduni wa kujisomea
Vitabu na hivyo kuchangia kwa kiasi kikubwa kupitwa na mambo mengi
yanayoendelea katika dunia hii ya sasa na kuongeza kuwa wanafunzi wakati
wakisubiri matokeo yao ni bora wakawa wakijisomea majumbani.
Alisema
kuwa kwa sasa Taifa limepoteza mwelekeo mkubwa hususani kwa vijana ambao kwa
kiasi kikubwa hawasikilizi hata viopindi vya Radio vya kijamii ambavyo vinaweza
kuwapa upeo wa kuweza kuyakabili maisha hata wawapo majumbani kwao na kupata
maarifa makuibwa.
Mkurugenzi
huyo pia aliaani mauwaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na kusisitiza
jamii kubalika kwa sasa na kumwogopa mungu kwani vitendo hivyo ni vya kinyama
na vinapaswa kukemewa na kila mtu ili viweze kutoweka kabisa.
“Sisi
tunalaani vitendo vya mauwaji ya albino vinavyofanywa na watu wenye roho mbaya
na itendo hivyo ni kinume na haki za binadamu, wenye imani tushinde makanisani
pamoja na misikitini kulaani unyama hui mkubwa”, Alisema Alexander Kazimiri
Mkurugenzi wa Anderleck Sekondari.
Kwa
upande wake Mgeni Rasmi katika mahafali hayo Afisa Mkuu Ugawajio
Rasilimali kutoka mamlaka ya Elimu Tanzania Masozi Nyirenda alisema kuwa
kwa sasa Wanafunzi wanatakiwa kuwa ni watu wa kutangaza ajira na sii kusubiri
ajira.
Masozi
aliwataka pia Wanafunzi wawapo majumbani wawe mabalozi wa kuweza kuripioti
matukio ya maovu yanayotendeka katika jamii kwanui na wao no ja katika
sehemu ya jamii katika Taifa zima za kitanzania.
“Usalama
kwa maendeleo ya Taifa ni la kila mtu akiwemo mwanafunzi kwa hiyo ni bora
mkaonyesha ushirikiano wenu pamoja na serikali yenu katika suala zima la
ulinzi na usalama”, Alisema Masozi Nyirenda katika mahafali hayo.
Mwisho.
No comments: