Baba ASkofu Ruwaich akiweka ishara ya msalamba katika kaburi la padre joseph mayunga
Mapadre wa jimbo kuu la mkoa wa shinyanga wakishusha mwili wa marehemu padre joseph mayunga .
Baba Askofu Ruwaich akiongoza ibada ya mazishi ya padre joseph mayungu katika kanisa kuu la Ngongolo kwenye makaburi ya mapadre katika kanisa hilo .
Mapadre wa jimbo kuu la shinyanga wakiwa na baba askofu Ruwaich wakati wa ibada ya mwisho kanisani .
Mapadre wa jimbo kuu la shinyanga wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu padre joseph mayunga kwenda makaburini .
Baba Askofu mwenye kofia nyekundu akitoa sala ya kuombea mwili wa padre joseph mayunga .
Mapadre wa jimbo kuu shinyanga wakiwa katika alter .
Mapadre wa wakisali misa ya mazishi ya padre joseph mayunha katika kanisa kuu la Ngongolo
Masistar wa jimbo kuu la shinyanga wakiwa katika mazishi ya padre joseph mayunga wakiwa na kwenye ibada.
Baba Askofu Ruwaich akimeshika kitenzo cha kubariki kaburi kwa manukato kama ishara ya imani yake .
Baba ASkofu Ruwaich akisali sala ya mwisho katika kaburi la padre joseph mayunga . picha zote na mohab Dominick
No comments: