Diwani wa kata ya Bulyahunulu Joseph makoba Akitoa ufafanuzi juu ya mandamano yao katika baraza la madiwani
Baadhi ya madiwa wa Halmashauri ya msalala wakisikiliza kwa makini Diwani wa kata ya Bulyahunulu juu ya sakata la sevs lev ya maendeleo kwa kota mbili .
Baadhi ya wakuu wa idara ya Halmashauri ya msalala
Diwani wa kata Bulyahunulu mwenye miwani akisisitiza suala lao la mandamano yao baada ya mgodi wa bulyahunulu kupewa siku 7 wawe wamekwisha lipa vinginevyo wataitisha mandamano ya amani kudai haki yao .
Mkurungezi Mtendaji wa Halmashauri ya msalala Patrick kurangwa akiwaomba madiwani kuacha kufanya mandamano hayo katika kikao cha baraza la madiwani .
Baadhi ya wakuu wa idara wakimsikiliza mkurungezi wao juu ya mandamano hayo .
Mwenyekiti wa Halmashauri ya msalala mibako mabubu akieleza baraza la madiwani juu ya sakata la fedha zao za sevs levi ya kota mbili
Baadhi ya m,adiwani wa chadema wakiwa makini kujadili mipango ya maendeleo katika Halmashauri yao ya msalala .
Mwenyekiti wa Halmashauri ya msalala mwenye sharti nyeupe wakijadili mambo mbalimbali
Mkurungezi wa Halmashauri ya Msalala Patrick Kurangwa akiwa na muandishi wa Radio kahama Fm Juu ya sakata la mandamano yao.
Kahama.
Madiwani wa halmashauri ya msalala wilayani kahama mkoani
shinyanga watoa siku saba kwa mgodi wa dhahabu wa Bulyahunulu kulipwa sev levi
wao wa miaka miwili kinyume cha hapo watafanya mandamano makubwa.
Hayo yalisemwa na Diwani wa kata ya bulyahunul joseph makoba katika kikao cha baraza la
kawaida la madiwani kuhusu mrahaba wa fedha za mrahaba huo, Diwani huyo alisema
wamekuwa ni wasumbufu juu ya malipo hayo jambo ambalo linafanya halmashauri
kushindwa kufanya mipango yao .
Akifafanua zaidi katika suala hilo alisema kuwa suala hili
limekuwa la siku nyingi la kuomba haki yetu jambo ambalo si la haki jamba
ambalo sasa baraza tutafanya mandamano makubwa na kuziba barabara toka ntobo
mpaka kakola kuanzia tarehe 6,na mwambia mkuu wa wilaya kupanga vizuri kamati
yake ya ulinzi na usalama kwa ajili ya suala hilo tumechoka na kero hizi.
Kwa upande wake mwenyekiti wa halmashauri ya msalala mh mibako mabubu amesema kuwa wao wako tayari
kwa hilo na kumpa mkurungezi mtendaji wa halmashauri hiyo Patrick karangwa
kupewa siku 7 za suala hilo na baraza la madiwani wote limeazia suala hilo kwa
nguvu zote.
“Sisi madiwani tumekuwa watu wa kumbuluzwa katika masuala ya
maendeleo kamati ya ulinzi iweke ulinzi wa kutosha sisi ikifika siku hiyo
tutandamana tu haya makampuni yana dharau sana tunamuangiza mkurungezi
kuwapelekea uongozi wa huo mgodi wa Bulyahunul”.
Naye Diwani wa kata ya sengese Joseph Manyalla nyenye amesema
kuwa atoa loli la kumbemba mawe kwa ajili ya kupambana na jeshi la polisi kudai
haki yao ,suala hili limekuwa linadanadana tu tumeshindwa kuvumiliana kwa hili.
Kwa upande wake mkurungezi mtendaji wa halmashauri ya msalala
Patrick karangwa alisema kweli suala hili limekuwa la siku nyingi na kwa
mahazimio ya baraza mimi kama mkurungezi sina la kufanya zaidi ya kupeleka
mahazimio ya baraza la madiwa hao juu ya Sev levi wao.
Mwisho
No comments: