katibu wa SSIA justine ishengoma akionyesha baadhi viongozi jinsi uoto wa asili ya mto kabehelele mwenye sharti la kitenge ni afisa tarafa wa Butundwe.
Mwenye sharti la kitenge ni afisa tarafa wa Butundwe kassim Ramadhani akionyeshwa baadhi ya maeneo yaliolimwa magimbi na mahole katika uoto wa asili wa mto kabehelele .
Hivi ni baadhi ya visima ambavyo vimetupiwa nywele za saloon katika eneo la mto kabehelele jambo ambola shirika la SSIA kuona suala hili ni janga la wakazi wa katolo .
Fatilia habari hii kwa ukaribu zaidi
No comments: