sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MWANANCHI WA MTAA WA SOKOLA KAHAMA WAKATAA UBADILIFU WA MKUU WA SHULE

 Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi majengo wakiwa nje ya majengo yao .
 Baadhi ya wazazi wa shule ya msingi majengo wakiwa nje ya ofisi ya mwalimu mkuu kabla ya wazazi kwenda kuitwa na mwenyekiti wa mtaa huo wa sokola .
 Baadhi ya wazazi walitumwa kumuita mkuu wa shule kwa mwenyekiti wa mtaa na kukata wito huu
 Hili ndiyo shimo la matundu ya choo ya shule hii ambayo ujenzi wake hunafanya katika kipindi cha mazika.
Mwenyekiti wa mtaa wa sokola Mary sumuni akiwa katika ya shimo la matundu ya choo ambayo mwenyekiti huyo amekatisha ujenzi wake kutokana na kuwepo kwa dalili za kura rushwa katika ujenzi huo.

 ''ENDELEA KUFATILIA HEKA HEKA HII KATIKA MTANDAO HUU SAKATA HILI KESHO.,

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply