sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MATUKIO YA WAKF WA BABA ASKOFU SANGU JIMBO KUU LA NGOKOLO MJINI SHINYANGA

Askofu mpya wa jimbo katoliki la Shinyanga Liberatus Sangu akiwekewa mkono kichwani.  Askofu mpya wa jimbo katoliki la Shinyanga Liberatus Sangu akiwekewa kitabu kichwani


  Askofu mpya wa jimbo katoliki la Shinyanga Liberatus Sangu akipakwa mafuta.


  Askofu mpya wa jimbo katoliki la Shinyanga Liberatus Sangu akikabidhiwa kitabu cha injili. Askofu mpya wa jimbo katoliki la Shinyanga Liberatus Sangu akikabidhiwa bakora ya kiaskofu  Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa akishikana mkono na askofu mpya wa jimbo katoliki la Shinyanga Liberatus Sangu.


 Rais Jakaya Kikwete akifuatilia kwa umakini ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa askofu Liberatus Sangu,kushoto kwake ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga,kulia kwake ni mwenyekiti wa Chama Cham Mapinduzi mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja,akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro

 


 Rais Kikwete akitoa salamu zake wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa askofu Liberatus Sangu.
 Askofu wa jimbo kuu la Dar es salaam Kadinali Pengo(aliyekaa katikati) akiongoza sala ya Litania huku askofu mpya wa jimbo katoliki la Shinyanga Liberatus Sangu akiwa amejilaza chini wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa rasmi katika kanisa kuu la mama mwenye huruma la Ngokolo mjini Shinyanga.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply