sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WAKINA MAMA WA UMOJA WA JUMUIYA YA KIISLAM KAHAMA WAAZISHA SHULE



 Mazungumzo
 Sheikh wa wilaya ya kahama wa kwanza kushoto Omary Damka Na Mgeni wake Sheikh Khamis Mataka
 Sheikh wa wilaya ya kahama Omary Damka akisema neno kwa mgeni Rasmin

 Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa shinyanga Khamis Mgeja akitoa neno la  shukurani kwa mgeni Rasmi kwenye Harambee hiyo ya ujenzi wa shule ambapo mgeja alichangia shilingi milioni mbili 2 na mifuko kuni ya saruji .

 Sheikh Khamis Mataka akitoa Hotuba kwenye Harambee hiyo.
 Baadhi ya kinamama wa jumuiya ya kislamu mwenye maiki ni mjumbe wa jumiya hiyo Rehema Maharange akitoa neno la kuchangia kwenye Harambee hiyo,ambapo mama huyo alichangia matofari na kujenga Darasa moja na Madirisha ya baadhi ya madarasa hayo.
 Mama Mwenye Ngauni jeusi na maiki Ni Dada yake Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Simba akitoa neno kwa kuchangia Harambe hiyo .
 Baadhi ya Wadau wa Elimu kahama wakisiliza kwa makini mgeni Rasmin
 Mazumguzo ya pamoja karibu sana mgeni wetu kahama Hayo maneno ya sheikh Haji Alley
 Karibu sana sheikh Mataka kahama .
 Mwenyekiti wa Baraza la Bakwata Wilaya ya kahama Haji Nassor akiwa na sheikh wa wilaya Omary Damka wakiangali moja ya majengo la shule hiyo
 Mratibu wa jumuiya ya kinamama wa kislamu Masoud mbaya Akitoa maelenzo kwa mgeni Rasmi mwenye Miwan sheikh  Khamis Mataka kuona moja ya Darasa la shule hiyo.
 Mwenyekiti wa Baraza la Bakwata wilaya ya kahama Haji Nassoro akiwa na Baadhi ya viongozi wa jumuiya hiyo ya kinamama .
 Sheikh Mataka Mwenye miwani kati ni Khamis mgeja na Mwisho ni mratibu wa shughuli hiyo Masoud Mbaya wakiwa Ndani ya moja ya Darasa shuleni hapo .

 Picha ya Pamoja na mgeni Rasmi sheikh Khamis mataka mwenye miwani  meusi  Uongozi wa shule hii ya Jumuiya ya kinamama wa kislamu

 Mwenye kazu na koti ni Sheikh Khamis Mataka akiwa na mwenyeji wake Khamis Mgeja wakati akiwasili kwenye shule ya jumuiya ya kinamama wa kislamu mjini kahama.
 Sheikh hayo ni maneno ya kukaribisha Mgeni wetu  sheikh Khamis Mataka  Karibu Sana Nyumba kahama.

 Sheikh Ibrahimu Manyangali Akitafusiri Qua_ani Tukufu kwenye Harambee hiyo
 Wazee Maarufu wa mji wa kahama nao washiriki Harambee hiyo .
 Baadhi ya Masheikh wa Misikiti Mbalimbali wa kahama walishiriki kwenye Harambee hiyo
 Baadhi ya waaumi wa Dini ya kislamu wakisikiliza Hotuba kwenye Harambee ya shule ya  jumuiya ya kina mama wa kislamu mjini kahama.
 Baadhi ya Watoto wasikiliza kwa umakin Mgeni Rasm sheikh Mataka  wakati wa hotuba yake.
 Mhasibu wa jumuiya ya kinamama wa kislamu siwezuri jumanne akisoma Risala.
 Sheikh Nassor Pambaaa mwenye kibagarashia kichwani na Mwenyekiti wa Baraza la Bakwate Haji Nassor .
 Kati Ni Mhasibu wa Umoja wa kinamama mwenye Bahasha siwazuri jumanne alipokabidhi Risala kwa mgeni Rasmini
 Mgeni Rasmi Sheikh Khamis Mataka Mhasibu wa jumuiya hiyo siwezur jumanne  Akikabidhiwa Risala ya Jumuiya ya kinamama  hao wa jumuiya ya Umahatul islamiya mjini kahama .
Mwenyekiti wa Baraza la Bakwata Haji Nassor Akishukuru Mgeni Rasmi Sheikh Khamis Mataka  katika Harambee kwenye Shule ya Jumuiya ya kinamama Wa kislamu mjini kahama Ambapo jumla ya shilingi milioni 10.6 zilipatikana hapo na hadi mbalimbali

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply