sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA WASHEREKEA SIKU YA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NA WALEMAVU WA NGOZI KATIKA KITUO CHA BUHANGIJA


Mkuu wa shule ya Buhangija Peter Ajali akitoa shukrani kwa waandishi wa habari waliofika kuwafariji watoto wenye ulemavu wa ngozi katika siku ya vyombo vya habari Duniani.

Makamu Mwenyekiti wa club ya waandishi wa habari , mwenye sharti la mikono mirefu Greyson kakuru akiangalia vitu mbalimbali vilivyotolewa na waanahabari wa mkoa wa shinyanga katika siku ya Habari Duniani 

Vijana wa kituo cha watoto walemavu wa ngozi Albino wakisikilza Hotuba ya makamu mwenyekiti wa club ya waandishi wa habari wa mkoa wa shinyanga ambapo walikwenda kutoa msaada ya kibinadamu katika siku ya vyombo vya habari Duniani .

Baadhi ya walemavu wa macho wasioona wakisikilaza kwa makini siku ya vyombo vya habari ambapo waandishi wa habari mkoa wa shuinyanga walifanya siku na watoto hao pamoja .

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa wameshika mabongo  ambyo yameandikwa kulani vitendo vya ukatili  kwa watoto ,wakiingia katika kituo cha watoto mwenye ulemavu wa ngozi Albino katika siku ya vyombo vya Habari Dunia.

Pinga picha wa kituo cha ITV mkoa wa shinyanga Frenk Msana akiwajibika katika siku ya vyombo vya habari katika kituo cha watoto walemavu wa ngozi Albino .

Makamu Mwenyekiti wa club ya waandishi wa habari mkoa wa shinyanga Greyson Kakuru Akikabidhi mwalimu mkuu wa kituo hicho Peter Ajali  mifuko ya unga nyenye kilo 25. 

makamu mwenyekiti wa club ya waandishi wa habari mkoa wa shinyanga Gresony kakuru akimkabidhi fedha shilingi elfu 30 kwa ajili ya mafundi wanaofanya kazi hapo kwenye moja ya jengo la watoto hao huku baadhi ya waandishi wa habari wakishuhudia tukio hilo .

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply