HIKI NDIYO KIFAA CHA USALAMA KATIKA VIWANJA VYA FURAHISHA JIJI MWANZA KABLA KUANZA KWA UTAMBULISHO WA MGOMBEA URAISI WA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA).
Baadhi ya askari wa jeshi la polisi wakiondoa mawe katika barabara kuu toka airport kwenda mjini kati
Askari kazu wakitoa mawe Barabarani kama jinsi wanavyonekani katika ya barabara ya airport mwanza .
Askari wa kikosi cha kuzui fujo akiondoa mawe barabarani huku gari likiwa pembeni ya barabara .
Toa mawe askari wa kikosi cha kuzuia fujo kwenye barabara .
Askari polisi wakiwa katika ya Barabara kwa ajili ya kuwatawanya wafasi wa umoja wa ukawa jiji mwanza kabla ya mgombea huyo wa kiti cha urasi waziri mkuu mstafu Edward Lowassa kabla kufika jiji mwanza.
Hivi ndiyo askari wa kikosi cha kutuliza fujo jiji mwanza walipofunga jia toka uwanja wa ndege jiji mwanza kuzui umati wa wanachi wa mwanza kwenda kumpokea Mgombea wa kiti cha Rais kupitia ukawa .
Baadhi ya waandishi wa Sahara midea group wakiwa katika eneo la airport wakiwaokoa baadhi wa waumini wakitoka kanisani eneo hilo ambapo jeshi la polisi walifyatua mabomu ilio kutawanya umati wa watu kwenda uwanja wa ndege.
Hali ndiyo ilivyokuwa jiji mwanza kabla ya mgombea kiti cha Urais kupitia ukawa Waziri mkuu mustafu Edward Lowassa kuwasili jiji mwanza.
Barabara kuu toka uwanja wa ndege mwanza kuwatawa wananchi na wafasi wa umoja wa ukawa kuzuiwa kwenda uwanja wa ndege ambapo jeshi la polisi liliweka Doria kali
Hivi ndiyo baadhi ya wasafiri wakijioni kikosi cha kutuliza fujo kitumia nguvu zaidi kuwatawanya wafasi wa umoja wa ukawa kwenye uwanja wa ndege .
Umati wa umoja wa ukawa wakiwa barabarani kuelekea uwanja wa furasha jiji mwanza wakitokea uwanja wa ndege huku jeshi la polisi kshindwa kuzuia umati huo .
Hivi ndivyo kikosi cha kutuliza fujo FFU mwanza kuzindiwa na umati wa wananchi na kusalimu amri nguvu ya umma jiji mwanza .
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazi kuakisha wakipata kila tukio linalojitokeza katika mapokezi hayo.
Askari polisi wakiwa na siraha za moto kwa ajili ya kupambana na umati wa wananchi waliokuwepo barabarani.
Mwanachi wa jiji mwanza wakiwa juu ya milima wakisubiri Mgombea wa Urais kupitia ukawa waziri mkuu Msatafu .
Pamoja na kurushiwa mabomu na askari wa kikosi cha kutuliza fujo wananchi hawao walikwenda kusima katika kituo cha polisi pasiasi jiji mwanza ili kuakisha wanamuona mgombea wao kupitia umoja wao ukawa Waziri mkuu mstafu Edward Lowassa.
Hivi hali ilivyokuwa katika mapokezi ya mgombea nafasi wa Uraisi kupitia ukawa umati ulivyofunika jijij la mwanza .
Pamoja na kushindwa baadhi ya wananchi kufika uwanjani ilibidi kupanda juu ya magorofa mwanza ili kumuona mgombea wao .
Katika hali ambayo siyo ya kawaida kutokana na umati wa watu kufurika katika viwanja vya furahisha jiji mwanza kuna baadhi ya wananchi walizimia kwa kukosa hewa kama baba huyo alivyochukuliwa na kikosi cha huduma ya kwanza,ambapo walikuwepo hapo uwanja .
Huu ndiyo Ummati ambao jeshi la polisi lishindwa kuzuia na kushindwa kuwanga maji ya machozi kwa kuzindiwa na nguvu ya umma .
Ummati huu ndiyo ulikuwa katika viwanja vya furahisha mbali ya umati ulikuwepo katika uwanja wa ndege jiji mwanza .
Mwenyekiti wa Taifa Fremani Mbowe akihitumbia Umati mkubwa wa wananchi wa jiji la mwanza katika viwanja vya michezo Furahisha wakati wa kumtambulisha mgombea wa umoja wa ukawa jiji mwanza .
Mwenyekiti wa Taifa Fremani Mbowe ,mwenye miwani meusi kati ni mgombea Urais Mh Endward Lowassa na mgombea mweza mh Haji Duni katika uwanja wa Furahisha jiji mwanza.
Alionyesha mkono ni mgombea mweza wa umoja ukawa Haji Duni akiwashanga umati mkubwa wa wananchi walijitokeza kwa wingi ka tika viwanja hivyo vya furahisha.
Mh Jemes Mbatti akiongea na umati mkubwa wa wakazi wa jiji la mwanza katika viwanja vya Furahisha wakati wa mgombea Urais kupitia ukawa Mh Edward Lowassa.
Mgombea Nafasi ya urasi kupitia umoja wa katiba ya mwananchi (ukawa) Mh Waziri mkuu Msatafu Endward Lowassa akihutubia Umati uliofulika katika viwanja vya furahisha jiji mwanza.
Moja ya mtambo wa Rada wa kuangalia usalama wa umoja wa katiba Ukawa kama eneo hilo lote lipo salama mambo ya ukawa hayo .
Mwanza
Jeshi la polisi mkoa wa mwanza zimesema kuwa hajawahi kutokea
umati mkubwa kama huu katika jiji la mwanza umati wa watu uliyofulika toka
majira ya asubuhi katika viwanja vya furahisha.
No comments: