mgombea wa ubunge jimbo la kahama mjini jumanne kibera kishiba akisaini kitabu cha tume ya taifa kudhibitisha majina yake,katika ofisi ya mkurungezi wa Halmashauri ya mji,akiwa pamoja na wangombe wa jimbo la ushetu Elias kwandikwa na Ezekiel Maige wa jimbo la msalala.
Jumanne kishimba akiandika jina kwenye kitabu cha wangombe ubunge jimbo la kahama.
Elias kwandikwa akiwa pamoja na mgombea wa jimbo la kahama jumanne kishimba ofisi ya mkurungezi wa mji wa kahama akitoa shukurani kwa mkurungezi wa uchanguzi .
Mgombea wa Ubunge kupitia ccm jimbo la kahama mjini jumanne kishimba akipokea fomu toka kwa msimamizi wa tume ya uchaguzi jimbo la kahama Felix kimario.
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya mji wakiwangalia wagombea wa jimbo la kahama mjini wakiwa katika maeneo ya ofisini.ambao ni wafanyakazi wa kitengo cha ardhi .
No comments: