sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » MJUE ELIAS JOHN KWANDIKWA MGOMBE JIMBO LA USHETU KWA MAENDELEO

 Elias kwandikwa akiwa katika mahafari ya shule ya msingi kisuke ambapo shule hii amesoma hapo
 Moja wa walemavu wa viungo mary akimpongeza na mgeni rasmi  kwenye mafahali ya shule hiyo ELias kwandikwa  ambapo mary ni moja wa wasichana waliomaliza elimu ya msingi.
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya ushetu juma kimisha akimpongeza mary kwa kuwenza kumalinza elimu ya msingi katika shule ya msingi kisuke .
 Moja ya Darasa ambalo mgombe jimbo la ushetu Elias kwandikwa alisoma humu akiwa na wanafunzi wa shule hiyo mwenye miwani .
Eliasi kwandikwa akihutumbia wanafunzi wa shule ya msingi kisuke kwandikwa alikuwa mgeni rasmi katika shule hiyo.

 Moja wa wanafunzi wa shule ya sekondary mweli ambapo wasichana walifika kidato cha nne walikuwa wawili kati ya 40 na wengine kushindwa kuendelia na  masomo yao ,kutokana na matatizo mbalimbali ikiwemo mimba .
 Moja ya shughuli za ujenzi wa mahabari ya  shule ya sekondary ya kisuke .Elias kwandikwa akiangali kwa makini ujenzi wa mahabari hiyo.

 Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya ushetu Tabu katotomwenye suti nyeusi kati  akiwa na Elias kwandikwa kuona shughuli za maendeleo ya ujenzi wa mahabara na matofari.
Elias kwandikwa akiwa na wasichana kati 40 walioza kidato cha kwanza na kujikuta wakimaliza wawili wakiwa na madiwani wa kata ya ushetu .

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply