Kwa Huduma Bora na salama,Eneo la kupaki magari na ulinzi mkubwa fika Ghamma Hotel .
kwa huduma za usafiri toka kati ya mjini na kuja mhongolo upo wakati wote fika Ghamma hotel ujione mwenyewe bila ya kuambiwa.
Pia Ghamma Hotel kuna wahudumu Bora na wapole na wacheshi wakati wote wapo na Sura za tabasamu
Eneo la juu ni ukumbi wa mikutano na chini ni Hotel
Hivi ndiyo moja ya mazingira mazuri yac kupumzikia ikiwepo migomba na majani mazuri na bustani ya majani
Moja wa warembo wa Ghamma hotel akiwa katika tabasamu ndani ya ukumbi kwa habari zaidi endelea kupitia mtandao wetu ili kuwenza kuujuza zaidi juu ya hotel hii
No comments: