Mgombea Urais kupita Umoja wa katiba Edward lowassa Akiwasili mjini Tabora kwa ajili ya kunadi sera za umoja wa ukawa katika viwanja vya shule ya msingi Town school huku mwenyekiti wa Taifa wa chadema Freemani Mbowe akimpokea na baadhi ya viongozi wa umoja huu ..
Mwenyekiti wa Taifa wa chadema Freeman Mbowe Akiwahutumbia wakazi wa mji wa Tabora katika viwanja vya Town school huku maelfu ya waananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi .
Mgombea wa Urais Kupitia Umoja wa katiba ya wananchi ukawa Edward Lowassa Akihutubia Maelfu ya wakazi wa mji wa Tabora katika viwanja vya shule ya msingi Town school .
Maelfu ya Wananchi Tabora wakiwa katika viwanja vya shule ya msingi Town school wakati wa mkutano wa umoja wa katiba ya wananchi ukawa mjini Tabora huku wakiwa na shahuku kubwa la kumuona Mgombea Urais wa umoja huo Edward Lowassa .
Mgombea Urasi Kupitia umoja wa katiba Edward Lowassa akiwa juu ya gari la wazi na mwenyekiti wa Taifa wa chadema Freeman Mbowe wakati walipowasili mjini Tabora katika kampeni za ukawa.
No comments: