Mgombea Urais kupitia Ukawa Edward lowassa akiwasili katika uwanja wa polisi mjini nzega,na mwenyekiti wa Taifa Freemani Mbowe walipowasili mchana huku umma wa wananchi ulifulika uwajani hapo .
Mh Waziri Mkuu Mstafu fredilck sumaye akiwahutubia wakazi wa nzega .
Mgombea Urais kupitia Ukawa Edward lowassa Akipiga makofi,huku akiwasalimia wananchi uwanjani hapo alipowasili katika uwanja wa polisi mjin Nzega .
Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe Akitoa salamu za Ukawa katika uwanja wa polisi mjini nzega na kuomba wananchi wa nzega kupiga kura na kuondoka madaraka serikali ya ccm ili wapata haki yao.
Mgombea Urais kupitia ukawa Edward lowassa akimuombea kura kwa wananchi wa nzega mgombea ubunge wa chadema kupitia ukawa charles mabula mjini nzega .
Hilo ni chopa kabla kutua katika uwanja wa polisi mjini nzega,ilikiwa juu ya anga ya nzega ilikitokea mjini urambo .
No comments: