By: Mohab Dominic
on 05:34
/
|
Mh Lilian Haule ambaye ameonyesha kidole akitoa maelezo katika siku ya sheria katika maeneo ya viwanja vya National House maeneo ya soko la wakulima na baraka nicodemasi akipata ufafanuzi juu ya masuala ya kisheria |
|
Siku ya sheria nchini Huduma za haki kumlenga mwananchi katika viwanja vya National House |
|
MH Hakimu Mkuu Mfawidhi wilaya ya kahama Hermes Byarugaba akiongea na vyombo mbali mbali vya habari juu ya kuzifahamu sheria ambapo leo shughuli hizi zinafanyeka katika viwanja vya national house karibu na soko la wakulima.
|
|
Afisa huduma kwa jamii Faridi Khalidi akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi korongwe katika viwanja vya soko la wakulima katika mahazimisho ya kwanza ya siku ya sheria ambapo yatafanyika katika viwanja hivyo kwa siku tatu . |
|
Baadhi ya waheshimiwa mahakimu wakiwa katika viwanja vya national house eneo la soko la mkulima wakiwakaribisha wananchi kujua masuala ya sheria. |
|
Baadhi ya mahakimu wakiwa katika viwanja vya National House mjini kahama |
|
MH Hermes Byarugaba akiongea na waandishi wa habari katika viwanja vya national House mjini kahama |
|
MH
Hakimu mkazi mfawidhi wilaya Evodia kyaruzi akiongea na waandishi wa habari juu ya umuhimu wa siku ya sheria kwa wananchi katika viwanja vya National house mjini kahama
|
|
MH Liliani Haule akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi korongwe juu ya siku ya sheria kwa wanafunzi katika viwanja vya National House mjini kahama |
|
Mwanafunzi wa shule ya msingi korongwe winnefrinda mhoja akiongea Radio kwezira na jembe Fm juu ya kunyanyashaji wa haki ya watoto katika viwanja vya National House mjini kahama |
|
MH
Hakimu mkazi mfawidhi wilaya Evodia kyaruzi akiomba wakazi wa mji wa kahama kufahamu sheria za mahakama ili kuepuka mataperi wa sheria ambapo ni kosa la kisheria. |
|
Mwanafunzi wa shule ya msingi korongwe George Josepha akizumgumzia haki za watoto katika shule yao na kujua haki zao |
|
Mwanafuzi wa shule ya msingi korongwe Rose Saimon akiongea na vyombo vya habari juu ya siku ya haki ya watoto katika shule
Kahama
Wananchi wilayani kahama Mkoa wa Shinyanga wametakiwa kujenga
tabia ya kuitumia mahakama kama Chombo cha kupatia haki kama kichocheo cha
kuimarisha dhana ya Utawala bora hapa
Nchini
Rai hiyo imetolewa na hakimu Mkuu Mfawidhi wilayani humo
Hermes Byarugaba wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria ambayo kiwilaya
yameanza kuadhimishwa katika Viwanja vya National Housing jirani na Soko la Wakulima
mjini Kahama
Amesema licha ya jitihada za Serikali kuhakikisha huduma za
mahakama zinaboreshwa bado kunachangamoto ndogo ndogo zinazokwamisha utendaji
ambazo Serikali haina budi kuzitatua
|
Tag:
habari
matukio
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: