| Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Igomelo kata ya malunga wakisikiliza afisa ardhi juu ya upimwaji wa viwanja na idara ya ardhi katika maeneo ya mtaa huo . |
| Afisa Ardhi Jockimu Henjelewa akionyesha hati ya kupata kiwanja jinsi kinavyokuwa na kwa kufata sheria za ardhi na kuondoka na mataperi wa viwanja . |
wakazi wa mtaa wa Igomelo wakisikiliza afisa ardhi wa halmshauri mji wa Kahama hayupo pichani .
| Baadhi ya viongozi wa mtaa wa Igomelo kata ya malunga wakiwa na mwenyekiti wa mtaa wa igomelo mwenye tisheti nyekundu Agustino mabula. |
| Mtendaji wa kata ya Malunga Cosmas Bukango, akifanua jambo kwa wakazi wa mtaa wa Igomelo juu ya uvamizi wa viwanja bila ya kufata utaratibu wa ardhi . |
| wakazi wa mtaa wa Igomelo wakisikiliza kwa makini juu ya upimwaji wa viwanja katika halmashauri ya mji wa Kahama |







No comments: