![]() |
| Hivi ndivyo watoto wa marehem Ndanda kosovo wakiweka mataji ya maua kwenye kaburi la baba yao |
![]() |
| Gari Ambalo limechukua mwili wa nguli wa Dance Ndanda kosovo toka chumba cha kuhifadhia maiti |
![]() |
| Baadhi ya wananchi walifika nyumba kwa Ndanda kwa ajili ya kushiriki mazishi |
![]() |
| Msafara kwenda kwenye Nyumba yake ya mwisho hapa Dunian |
![]() |
| Umati wa waombolezaji Wakiwa Makaburini |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Le Mutuz |
![]() |
| Hivi ilikuwa baadhi ya kinamama kama hunavyona.wakishindwa kujizuhia kutokana na majozi ya mpendwa wao. |
![]() |
| Moja wa mke wa marehemu akipita mbele ya jeneza la mume wake akiwa ameshikiriwa |
![]() |
| Moja wa jamaa wa Nguli wa Dance Ndanda Kosovo mama huyoambaye alishiwa na nguvu baada ya mwili wa marehemu nyumbani kwake |
![]() |
| Baadhi ya kinamama wakilia kwa uchungu baada ya kuondokewa na kipenzi chao |
![]() |
| Gari ambalo limebeba mwili wa Ndanda kosovo ukitokea hospitakl ya Taif Muhimbili |
![]() |
| Picha ya kuweka kumbukumbu ya marehemu Ndanda Kosovo |
![]() |
| Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda picha kwa hisani millardayo |






















No comments: