sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » KIKAO KAZI KWA VIONGOZI WA CHAMA SERIKALI NA MADIWANI

  Mkuu wa wilaya ya kahama Vita Kawawa ambaye ni mgeni rasmi  Akifungua kiakao kazi kwa viongozi wa serikali na madiwani na  wadau wa maji katika Halmashauri ya mji wa kahama

Eng, mkuu wa  kuwasa Magige marwa aliyeyosha mikono akitoa maelezo katika taki kubwa la maji lilipo shunu

 Afisa Habari na mahusiano wa mamlaka ya maji kahama kuwasa mwenye Tai John Mkama akitoa maelekezo kwa mwenyekiti wa Halmashuri ya mjini Abel shija mwenye suti nyeusi juu ya wananchi waliovamia eneo la hifadhi la bwawa la  maji ambapo wanachi wamejenga eneo hilo hapo wapo juu ya msingi wa nyumba kama jinsi inavyonekana

Hivi ndivyo bwawa la mhungula ilivyoalibiwa na wachimbaji wa mchanga ambapo mamlaka ya maji ya mjini kahama kuwasa imepiga marufuku kufanya shughuli za kijamii katika eneo hilo

Mkuu wa wilaya ya kahama vita kawawa alishika shavu kati  ni  mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa kahama Abel shija na mwenye tai ni  afisa mahusiano wakisikiliza kwa makini Eng Clement Kivegalo akiwakilisha mada juu ya upatikanaji wa maji toka kashwasa mjini shinyanga na jinsi gani maji hayo yanatoka km 117 mpaka kahama mjini

 Huu ndiyo mkodo wa maji ambapo kuna maeneo yamepiwa na wanachi wamepewa viwanja na halmashuri ya mji wa kahama mbele kambisa ni bwawa la mji ambalo linatoa huduma katika idara za serikali magereza ,polisi ,na hospitali yetu ya wilaya.

 Baadhi ya wadau wa maji wakisiliza Hotuba ya mgeni Rasm mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa katika ukumbi wa Mamlaka hiyo.

 Mwenyekiti wa chadema wilaya ya kahamna alikaa  juma protesa akisikiliza Hotuba toka kwa mkuu wa wilaya ya kahama vita kawawa .

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa kahama Abel shija akisiliza mada toka kwa  Eng Clement kivegalo katika ukumbi wa mamlaka ya maji kuwasa.

Eng Clement kivegalo akiwa na mkurungezi wa Halmashauri ya mji wa kahama Anderson msumba nje ya kikao juu ya akiomba msada wa kupelekewa maji katika baadhi ya  maeneo yenye shughuli nyingi ya biashara  kama vile kagongwa na vijiji vya jirani na bomba lilipopita.


 Tumekutana leo uchaguzi hakuna tena na  siasa hapa ni kazi tu , Baadaye hayo ni maneno ya mkuu wa wilaya vita kawawa akimwabia mwenyekiti wa chadema wilaya kahama juma protes kati  ni mwenyekiti wa ccm chama tawala Mabala Mlolwa wakati wa mapumziko katika kikao kazi cha wadau wa maji wilayani kahama

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya mjin wa kahama Abel Shija akiteta jambo  na mkurungezi wa halmashuri ya mjin Anderson Msumba nje ya ukumbi wa mkutano wa mamlaka ya maji kuwasa .

 mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa  akiwa na baadhi ya washiliki na viongozi wa serikali   na  wadau wa maji wilayani kahama

 Mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa akiwa na viongozi mamlaka ya maji  na   mwenyeviti wa vyama vya siasa mjini kahama.
MKUU wa Wilaya ya Kahama Vita Kawawa amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kahama kutokukubali  kuuza maeneo yaliotengwa kwa ajili ya hifadhi ya vyanzo vya Maji ili kuepusha mji huo kukosa maji kabisa pindi yanapokatika hasa katika maeneo muhimu ya huduma za Kijamii.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply