sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » SERIKALI YAUZA NGOMBE 494 kati 603 KWA MNADA KWENYE POLI LA AKIBA LA KIGOSI




Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mdendele wilayani Bukombe wakielekea eneo la Mnada  

Moja ya zinzi la Ngombe 

Ngombe wakiwa katika zinzi kabla ya  kuuzwa kwa  ngombe hao katika Mnada 

 Askari wanyapoli akiwa katika ya zinzi la Ngombe 
 Askari wa nyamapoli wakiwa kikazi kuakikisha ulinzi umeimalishwa katika eneo la mnada wakati wote 

 Hata hivyo kina mamalishe katika maeneo haya huwa hawakosekani kufanyabiashara zao 

 Baadhi ya magari yakiwa yamebeba wafanyabiashara kwenda kwenye mnada  wakiingia katika poli la kigosi kwa ajili kuuza ngombe  kufanyika kwa mnada huu.

magari yakiwa yamebeba wafanyabishara wa ngombe kwenda kwenye mnanda huo  

Mkuu wa polisi wilaya ya Bukombe Nyahadahu Akisalimiana na Mkurungezi wa isangi auction mart court brocker ya jiji mwanza  huku mfanyabiashara wa ngombe akiwa anagalia hali ilivyokuwa hapo ulinzi ulikuwa umeimarishwa kwa kiwango kikubwa katika eneo hilo 

 Karibu ndiyo maneno ya mkuu wa polisi wilaya ya Bukombe Nyandahu wakati akipokea isangi ambaye amepewa mamlaka na mahakama kwa ajili ya kuuza kwa ngombe waliongia katika hifadhi ya  kigosi 

 Muandishi wa Habari wa gazeti la nipashe mkoa wa simiyu Ancetha Nyahore akibadilishana Mawanzo na msimamizi wa  Mnada Isangi muda mfupi kabla ya kuanza kwa mnda huu katika poli la kigosi 

 Hali ya usalama ilikuwa shwari kila moja alikuwa salama na fedha zake na hakuna tukio la mtu yoyote kuvamiwa katika eneo hilo la mnada  

 Askari wanyamapoli wakidhibiti ngombe moja ambaye alionekana kufanya fujo katika eneo hilo 

 Baadhi ya wananchi wakiangalia jinsi mnada unavyofanyika 

  Askari polisi wakiwa katika ulinzi mkali sana na kuuakisha utuklivu unakuwepo katika eneo hilo 

 Moja ya askari wanyamapoli akiwa na vifaa kwa ajili ya matibabu ya ngombe hao. 

 Hata hivyo ngombe wengine walizidiwa na kuchinjwa kwa ajili ya kitoweo

BUKOMBE

 
IMEELEZWA kuwa zoezi la kutoa mifigo ikiwemo Ng’ombe katika Pori la Akiba la Moyowosi/ Kigosi lililopo katika Mikoa Mitano kanda ya Ziwa na Magharibi ina lengo la kuifanya Mikoa hiyo kuwa na Vivutio vya utalii vitakavyoinufaisha kwa mikoa hiyo miaka mitano ya baadaye.

Akiongea na Waandishi wa Habari siku moja ya baaada ya kufanya zoezi la uuzaji wa Ng’ombe 494 zilizokamatwa katika pori hilo mwezi wa tatu mwaka huu, Kaimu Meneja wa Pori la Akiba la Moyowosi/Kigosi Iman Mkonda alisema kuwa zoezi hilo  litakuwa endelevu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply