|
Hali ndiyo ilivyokuwa katika soko la Vumilia mjini kahama Khadija Abdalla akiamuriwa ungovi na baadhi ya wafanyabiashara wezake . |
|
Wacheni Tu |
|
Mimi Sikubali hata kidogo hela zangu au pilipili hoho zangu |
|
Mama yake na Khadija Ungovi wa nini tena mtoto wangu |
|
Baadhi ya bidha zilizoharibiwa katika ungovi huo na kuwangwa chini kama jinsi zinavyonekana hapo chini |
|
Wewe wachani ungovi wenu hapa |
|
Mume wa khadija alipofika katika kibanda chake hajui la kufanya baada ya kuambiwa mke wake wameleta vujo hapa sokoni |
|
Kaka yake na Khadija akibaki ameshanga haju la kufanya |
|
Mmoja ya jirani yake na khadija mwenye kitambaa chekundu kichwa akiwa amebaki ameshangaa hajui la kufanya baada ya kuona ungovi huo |
|
Mimi sikubali niacheni tu siwezi kuonewa hivi hivi tu mimi sijachukuwa hoho zake |
|
Khadija Niacheni leo aone mimi sikuja kucheza hapa naomba hela yangu tu mimi hayo ndiyo maneno ya khadija |
|
Baadhi ya wafanyabiashara wa soko hilo wakiwa washangaa ungovi huo |
Kahama
KUFUATIA kipindi kigumu cha maisha katika Mfungo wa mwezi mtukufu
wa Ramadhani ambapo wasilamu wote dunia huenda sokoni kutafuta futari kwa ajiri
ya kufuturu,hali imekuwa tofauti kwa wafanyabiashara katika soko la wakulima
wilayanai kahama mkoani shinyanga kugombania wateja na kisha kujeruhiana.
Hali hiyo imejitokeza katika moja ya soko ambalo linamilikiwa na
mbunge wa jimbo la kahama mjini Jumanne Kibella Kishimba linalojulikana kama
soko la wakulima jambo ambalo sio soko rasimi ni kutokana na kutoingizia mapato
serikali.
Sakata la kugombea watejea limejitokeza majira ya saa tatu nanusu
mpaka saa nne kamaili asubuhi ambapo wafanyabiashara hao wawili Khadija
Abdallah na Grace aliyetambulika kwa jina moja,walijikuta wakishiakana mashati
na kuchaniana nguo kwa kugombania mteja.
No comments: