| Watoto wa marehemu monica wakiweka picha marehemu mama yao juu ya jeneza nyumba kwao mhongoro |
| Mtoto wa kwanza wa marehemu Monica Maduki picha ya mama yake juu ya jeneza |
| Babu yake na Marehemu monica Maduki mwenye sharti nyeupe |
| Mume wa Marehemu monica Bahati akianga mwili wa mke wake nyumba kabla kwenda kanisana kwa ajili ya misa katika kanisa la majengo. |
| Mjomba wake marehemu monica maduki Patrick mabula Akipita mbele ya jeneza kwa ajili ya heshima ya mwisho |
| Ndugu wa Marehemu wakipita mbele ya jeneza la monica kwa ajili ya kutoa heshima zao nyumba kweke marehemu. |
| Ni Uzuni kweli mama yetu kwa heri ya kuona tena ni maneno ya mtoto wa marehemu Monica |
| Watoto wa marehemu Monica |
| Uzuni watoto wa marehemu monica |
| Baba Askofu mkuu wa jimbo la kahama Joseph Minde akitoa maji ya baraka mbele ya jeneza na mlango wa kanisa kabla kuanza kwa misa takatifu |
| Mume wa marehemu ambaye amekuja mikono Marehemu Monica akiwa ndani ya kanisa kwa ajili ya misa takatifu ya kuombe maremu kabla mazishi |
| Baba Askofu wa jimbo kuu la kahama joseph mide akiendesha misa ya mazishi katika kanisa la majengo |
| Baba Askofu akitoa heshima zake za mwisho katika jeneza la marehemu Momica Maduki |
| Hii ndiyo safari ya mwisho ya mpendwa wetu monica |
| Nyumba yake ya milele ya Dada yetu Mpendwa Monica |
| Baba Askofu akiweka maji ya baraka katika nyumba yake ya milele Dada yeyu mpendwa monica kabla mwili wake kuwekwa |
| Baba askofu akiweka ubani ndani kaburi kabla ya kuweka mwili wake |
| Baba Askofu akiweka mchanga kama ishara kuangwa kwa marehemu Monica |
| Mjuukuu wa marehemu monica akiweka mchanga kwenye kaburi la bibi yake |
| Kwa heri mwangu hayo ndiyo maneno ya mama yake mdogo na marehemu monica |
| Mume wa Marehemu Monica akiweka shada la maua kwenye kaburi la mke wake |
| Patrick mabula na kaka yake wakiweka shahada la maua kwenye kaburi la mtoto wao marehemu monica |








No comments: