 |
Baadhi ya Magongo yalikamatwa na wakala wa mistu kahama yakiwa hayana kibali cha kukata mangongo |
 |
Roli ambalo limekamatwa na wakala wa mistu kahama |
 |
Askari mgambo wa maliasili wakiwa wanakangua ngari ambalo limepakia magongo |
 |
Askari mgambo wa maliasili akiangali magongo yalipakiwa kwenye gari ndogo kwa ajili ya kwenda kuchana mbao kahama mjini |
 |
Magongo |
 |
Wakala wa mistu wakiwa wamekamata moja ya magari ambayo yanafanya biashara ya kumbeba magongo usiku wilayani kahama |
 |
Scania ya kampuni ya fresho ikiwa imekamatwa na wakala wa mistu kahama ikiwa na shena ya mkaa mjini kahama |
 |
Wakala wa mistu kahama wakamata bajaji ikiwa na magongo zaidi ya kumi |
 |
Bajaji ikiwa na magongo |
 |
Roli la fresho likiwa na baadhi ya magunia ya mkaa |
KAHAMA
Idara ya misitu TFS wilayani Kahama,mkoani shinyanga imewataka wananchi wilayani humo kujiepusha na
vitendo vya Ununuzi wa mazao ya Misitu bila vibali kwakuwa kufanya hivyo ni
kinyume na sheria za mistu.
Meneja wa Idara hiyo Bruno Bahane alitoa rai hiyo wakati
akizungumza na Nipashe ofisini kwake mjini Kahama baada ya idara hiyo
kukamata Lori la Kampuni ya Pamba Fresho likiwa na Magunia 22 ya Mkaa
Akizungumzia makosa ya Mmliki wa gari hilo aina ya
SCANIA lenye namba za Usajili T 605 AQP, Meneja huyo aliyataja kuwa ni mawili
ambayo kosa la kwanza ni Kumiliki mazao ya Misitu, na la pili ni
Kuyasafirisha ambayo kwa mujibu wa Sheria yanatakiwa kulipiwa Faini
Bahane amesema kuwa matukio ya kukamatwa kwa magari ya wafanya
biashara yakiwa na Magunia ya Mkaa,na Magogo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara
na kwamba wanaokamatwa hutozwa faini.
No comments: