| Baadhi ya Watoto wenye kuishi mazingira magumu walipatiwa vitambulisho vya huduma za Afya |
| Baadhi ya wahuduma wa Afya kahama wakisikilza hotuba ya mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya kahama |
| Wajumbe wa bodi wakiwa Dr josepha Ngowi wakati wa makabidhiano ya Vitambulisho kwa watoto wanaishi mazinira magumu kati ni mwenyekit wa bodi Afya Maganga Diksoni |
| Mganga Mkuu wa Hospital ya Kahama DR Bruno Minja Akisoma Taarifa ya Huduma za Mfuko wa Afya ya jamii CH F na kukabidhi vitambulisho kwa watoto mwenye kuishi mazingira magumu |
| Baadhi ya Madaktali na Hudumu wa Afya wakisikiliza Mkuu wa wilaya ya kahama |
| Baadhi ya watoto wakisubiri kubidhiwa Vitambulisho vya huduma ya Afya CHF kwa ajili ya Matibabu |
| Watoto wakisubiri kukabidhiwa kadi zao za kupata huduma za Afya |
| Tunasubiri vitambulisho |
| Moja ya walemavu ambao hawana huwezo wa kupata matibabu wakisubiri kupata vitambulisho vya huduma ya Afya C H F |
| Mkuu wa wilaya akikabidhi moja ya familia kitambulisho cha huduma ya Afya |
| Kijana Ramson jacob mkazxi wa nyahanga akikabidhiwa kitambulisho chake na mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu |
| Stela Jacob akipokea kitambulisho chake cha huduma ya Afya toka kwa mkuu wa wilaya ya kahama kwa ajili ya Huduma ya Afya |
| Asante kwa kitambulisho |
| Asante mkuu wa wilaya kwa Huduma ya kupatia kitambulisho cha huduma ya Afya |
| Mwenyekiti wa Bodi ya AFya Dickson Maganga akitoa shukrani kwa Mgeni Rasmi kwa kutoa vitambulisho kwa watoto wenye kuishi mazinira magumu |







No comments: