MKuu wa mkoa wa shinyanga akiangali kiwanda cha fresho |
Moja ya mali ggafi kutoka ulaya zikiwa katika matayarisho kwa ajili ya kutengenezea viti na ndoo za blastick |
Mwenye miwani ni meneja mkuu wa kampuni ya kom limeted William Matonage Akitoa maelezo kwa mkuu wa mkoa wa shinyanga Zainab Tellack alipotembea kiwanda cha kom mjini kahama |
Mkuu wa mkao Zainab Tellack akipewa maelezao juu ya utengenezaji wa Mambomba ya maji katika kiwanda cha kom huku viongozi mbalimbali wakisikiliza maelezo |
Moja ya Mtambo mkuu wa kutengeneza Mambombmbamba a ya maji ukifanya kazi ya kufatua mambomba |
Tunatembelea kiwanda |
Moja ya mshine kubwa ya kutengeneza Mambomba katika kiwanda cha kom limited mji kahama |
Mtambo mkubwa wa kuteneneza Mabati katika kiwanda cha kom limited |
Baadhi ya viongozi wa kiwanda cha kom limitend |
No comments: