sponsor

sponsor

Slider

    Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

    Kimataifa Habari

      habari

        Habari Za Mastaa

          Michezo

            simulizi za kusisimua

              » » » RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA VIWANDA JIJINI TANGA LEO


              Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro alipowasili kukizindua maeneo ya Maweni jijini Tanga leo Agosti 6, 2017


              Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiakata utepe kufungua rasmi  kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga leo Agosti 6, 2017


              Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mwijage wakifunua kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh  maeneo ya Kange jijini Tanga leo Agosti 6, 2017


              Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mwandishi wa habari wa TBC Bi. Vumilia Mwasha baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh  maeneo ya Kange jijini Tanga leo Agosti 6, 2017


              Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakicheza ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000

              eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017.


              Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga  ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga leo Agosti 6, 2017



              «
              Next
              Mgogoro wa wakulima na wafugaji Manga,Tanga: Rais Magufuli atoa wiki 1 Hakimu Laizer awe amehamishwa kituo cha kazi
              »
              Previous
              MATUKIO YA UZINDUZI WA UJENZI WA BOMBA LA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI HUKO CHONGOLEANI TANGA

              No comments:

              Leave a Reply