WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA AKIMSALIMIA MAMA MZAZI WA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA MWENYE KHAGA KICHWANI
MAMA POLE HAYO NDIYO MANENO YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA WAKATI ALIPOKWENDA NYUMBANI KWA MWENYEKITI WACCM MKOA WA SHINYANGA KUMJULIA HALI MAMA MZAZI WAKE MJINI KAHAMA MWENYE KHAGA KICHWANI
BABA KARIBU NYUMBANI HAYO NI MANENO YA MAMA MZAZI WA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA HAMISI MGEJA
BAADHI YA NDUGU WA MWENYEKITI WA CCM WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA JANA MJINI KAHAMA NYUMBANI KWA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA HAMISI MGEJA
BABA KARIBU TENA HAYO NI MANENO YA MAMA MZAZI WA MWENYEKITI WA CCNM MKOA WA SHINYANGA
HOTUBA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA HAMISI MGEJA WAKIWAUTUBIA WAAUMINI NA WAGENI WALIKWA WAKATI WA WA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI YA KANISA LA( AIC )MJINI KAHAMA
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA HAMISI MGEJA AKIUTUBIA WAAUMINI WA KANISA LA( AIC )MJINI KAHAMA JUMAPIL WAKATI WA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI
habari
Habari Za Mastaa
Michezo
simulizi za kusisimua
Home
»
»Unlabelled
» WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA SAA 1 KUMSALIMIA MZAZI WA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA HAMISI MGEJA
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Post
-
HISTORIA YA MAREHEMU MCHUNGAJI MTIKILA, JINSI ALIVYOANZA SAFARI YA MAISHA YA SIASA TANZANIA MCHUNGAJI ...
-
Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombare Mwiru leo ametangaza kujiondoa ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM na sasa atakuwa mwananchi huru. ...
No comments: