| Eneo la mbele la shule la ROCKEN HILL ACADEMY karibu sana kwa elimu bora kwa mtoto wako |
| Ramani ya afrika katika eneo la shule |
| Utunzaji wa mazingira upo vizuri |
| Baadhi ya madarasa ya shule |
| Haya ndiyo madhari ya madarasa ya shule |
| Madarasa ya shule |
| Ubora na usafi wa hali ya juu katika kutoa huduma kwa watoto |
| Ubora kwetu ndiyo siraha ya kufanya vizuri kitaifa katika masomo yetu |
| Moja ya Alama ya shule yetu karibu sana Rocken Hill Academy kahama |