sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » AJALI YA KUTISHA. AIR BUS TOKA TABORA LAUA 10 GAIRO

 hivi ndiyo mili ya  marehemu ya ajali ya basi la air bus wilayani gairo leo mchana huu .
 Hivi ndiyo basi la air bus toka tabora lilivyopata ajali leo mchana wilayani gairo mkoa wa morogoro .
 Hivi ndiyo wasamalia wema wakifanya jitihanda za kuokoa abiri walinusurika katika ajali ya basi la air bus toka tabora leo mchana .
 Njamaaani tusaindieni ndiyo maneno ya abiri wa basi la air bus wakiomba msahanda kwenye ajali hiyo .


 hivi ndiyo basi la air bus lilivyotubukia chini ya mtalo wilayani gairo mchana leo kama lilinavyonekana .

Basi la abiria la Air Bus kutoka Tabora kwenda Dar limepata ajali mbaya katika Kijiji cha Kiegeya wilayani Gairo na taarifa zinasema karibu watu 48 wamekufa papo hapo.
Inaelezwa kwamba eneo hilo limetandwa na vilio. Chanzo cha ajali bado hakijajulikana.
Tayari viongozi wa serikali wamekwishafika eneo la tukio.


Habari za hivi punde kutoka Mkoani Morogoro zinapasha kuwa basi la Kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Tabora limepata ajali muda si mrefu eneo la Kiegeya Wilayani Gairo Mkoani Morogoro.

Habari zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Faustine Shilogile amesema ni kweli kuna ajali naye yupo eneo la tukio.

“Ninaomba unitafute baade kidogo kwa taarifa kamili kwa sasa nipo eneo la ajali huku Gairo,” alisema SACP Shilogile.

Tunafuatilia zaidi kuhusiana na  tukio hilo ambalo linaelezwa kugharimu uhai wa watu zaidi 10.
 Mwisho

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply