MAHAFARI YA 19 YA SHULE YA MSINGI KISUKE

 MDAU WA ELIMU WILAYANI KAHAMA ELIAS KUANDIKWA AMBAPO ALIKUWA MGENI RASMI KATIKA MAHAFARI YA SHULE YA MSINGI KISUKE MJINI KAHAMA KUPEWA HESHIMA YA KUWA MLEZI WA SHULE AMBAPO NAYE ALISOMA SHULE HIYO MIAKA 30 ILIOPITA KAMA HESHIMA.
 MGENI RASM KATIKA MAHAFARI YA SHULE YA MSINGI KISUKE ELIAS KUANDIKWA AKIMPA CHETI CHA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI MLEMAVU NDEBELE JOHN AMBAYE NI MOJA WA WAHITIMU WA SHULE HIYO.
 MOJA YA WAHITIMU WA SHULE YA MSINGI KISUKE NDEBELE JOHN AMBAYE NI MLEMAVU WA MIGUU AMBAYE AMEMALIZA ELIMU YA MSINGI
 MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU JUMA KIMISHE WAKATI WA MAHAFARI YA SHULE YA MSINGI KISUKE
 MH.DIWANI WA KATA YA IGWAMANONI PASCHAL NYONYOLO MWENYE KOFIA AKIMUONYESHA MDAU WA ELIMU WILAYANI KAHAMA ELIAS KUANDIKWA JENGO LA MAHABARA MWENYE MIWANI  MGENI RASMI KATIKA MAHAFARI YA SHULE YA SEKONDARI IGWAMANONI.
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA USHETU JUMA KIMISHA AKIMPONGEZA MLEMAVU KWA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI NDEBELE JOHN KATIKA SHULE YA MSINGI KISUKE.
MAHAFARI YA 19 YA SHULE YA MSINGI KISUKE MAHAFARI YA 19 YA SHULE YA MSINGI KISUKE Reviewed by Mohab Dominic on 00:03 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.