sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » WATUMIWA WA KUDHURU MWILI NA SHAMBULIO ALBINO KAHAMA YAHARISHWA


BAADHI YA NDUGU WA KABULA NKALANGO( ALBINO) MWENYE KOFIA YA BLUU WAKIWA NJE YA MAHAKAMA KUU WILAYANI KAHAMA BAADA YA KESI HIYO KUHARISHWA LEO MPAKA TAREHE 13 .11.2013

 WAKILI JOHN NG'WIGULILA  AKIWA NA WASHITAKIWA WATU MAGOBO NJIGE BUPINA MIHAYO NA SEGA MABIRIKA  BAADA YA MAHAKAMA KUU KUHARISHWA KWA KESI HIYO  HADI TAREHE 13.11.2013


 WAZAZI NA MASHAHINDI WA KESI YA JINAI 2 /2012 YA KUZURU MWILI NA SHAMBULIO KABULA NKALANGO (ALBINO) WAKIWA NJE YA MAHAKAMA  BAADA YA KESI HIYO KUHARISHWA LEO
 WALIMU WA  KABULA NKALANGO (ALBINO )WAKIWA NJE YA MAHAKAMA KUU LEO MJINI KAHAMA BAADA YA KESI YA KUDHURU MWILI NA SHAMBULIO KUHARISHWA NA JAJI  SAM RUMANYIKA.
 GARI LA POLISI LIKIWA TAYARI KWA AJILI KUPELEKWA MAHABUSU WATUMIWA WA KUDHURU MWILI WA KABULA NKALANGO.
 WATUMIWA WA KUDHURU MWILI WAKIPELEKWA MAHABUSU  MAGOBO NJILE,BUPINA MIHAYO,SEGA MABIRIKA ,BAADA YA MAHAKAMA KUU KUHARISHA KESI YA KUDHURU MWILI KABULA NKALANGO LEO
 WATUMIWA WAKIPELEKWA MAHABUSU
WATUMIWA WAKITOKA MAHABUSU BAADA YA KESI HIYO KUHARISHWA LEO NA MAHAKAMA KUU WAKWANZA NI MAGOBO NJIGE BUPINA MIHAYO NA SEGA MABIRIKA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply