sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » WATU WAWILI WA WANUSURIKA KATIKA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI NA ROLI LA MAWE

 BAADHI YA WAPITA KWA MIGUU KATIKA BARABARA YA ISAKA ROAD WAKISHUHUDIA AJALI MBAYA YA PIKIKIPIKI NA ROLI LA MAWE .
 BAADHI YA WATU WAKISHANGA JINSI AJALI HIYO ILIVYOTOKEA MAJIRA YA ASUBUHI SAA 2.30
 PIKIPIKI AINA YA SANLG NAMBA T272 CNW AMBAPO ILIKUWA IMEPAKIA VIJANA WAWILI WALINGONGWA NA ROLI NAMBA T509 AVG MALI YA MKOLANI INVESTEMENT YA JIJI MWANZA .

 PIKIPIKI AINA YA SANLG NAMBA T272 CNW IKIWA IMEHALIBIKA VIMBAYA CHINI
 WANANCHI NA MASHUHUDA WA AJALI YA PIKIPIKI NA ROLI  WAKIANGALIA AJALI HIYO
 ROLI NAMBA T590 AVG MALI YA MKOLANI INVESTEMENT YA JIJI MWANZA ILIYOSABABISHA AJALI MBAYA LEO ASUBUHI MJINI KAHAMA  LIKIWA LIMANDIKWA  SITA ZA BOKO HARAMU .

 BAADHI YA MASHUHUDA WA AJALI HIYO .

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply