sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » FAINAL ZA WAKILI NKUBA AMBASSADO FC WAIBUKA WASHINDI

 
 Mgeni rasmi katika fainail hizo ni katibu muenezi wa ccm mkoa wa shinyanga Emmanual malimandago mwenye suti nyeusi katikati .
 Moja ya heheka kwenye goli la Ambassado ambapo polisi Fc walikosa mabao mengi

 Hivi ndiyo washabiki wakiangali uwanja wa  halmashauri ya kahama marufu kwa jina la uwanja wa  taifa .
 Kapteni wa timu ya Ambassado akipokea kikombe toka kwa mgeni rasmi katibu muenezi wa ccm mkoa wa shinyanga Emmanuel malimadango akibidhiwa kikombe kapteni wa timu ya Ambassado kwa   ushindi kwa kuifunga polisi Fc kwa bao moja .

 Hata hivyo katika mambo ya imani yakosi kama ilivyo huyu mshabiki wa polisi Fc akiwa na nyama anajulikana finfi akiwa naye uwanja.
 hiki ndiyo kikosi cha polisi Fc uwanjani kabla kupokea kitita cha shilingi laki tatu .
 Hongera sana kwa ushindi wenu michenzo ni ajira kama katibu  muenezi wa ccm mkoa wa shinyanga kukabidhi kikobe kwa washindi wa  wakili nkuba kwa ushindi wao.
 Moja wa viongozi wa timu ya polisi Fc akipokea mkono kwa mgeni rasmi .
 kampten wa Ambassado FC akionyesha kikombe chao cha ushindi 
 Hii ndiyo kikosi cha polisi Fc .

 shabiki wa polisi Fc akiwa na nyama wake uwanjani ambapo polisi walifungwa bao moja na Ambassado fc na kuchukuwa kikombe na fedha tasilmu cha laki saba .
 Heeee wewe wacha tu ndiyo lalasalama kwenye goli la Ambassado livyosabuliwa na kikosi cha polisi Fc.
 Hivi ni heka heka kwenye goli la Ambassado Fc .
 Mashabiki wa polisi wakiwa hawaamini kilichotokea uwanjani hapo .

Hongereni sana kwa ushindi wenu  ni kapteni wa Ambassado akipokea fedha toka kwa mgeni rasm katibu muenezi wa ccm mkoa wa shinyanga Emmanueli malimandago.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply