ROCKEN HILL

ROCKEN HILL

Thursday, 4 September 2014

UHAMISHO WA MAKATIBU WA MIKOA WA CCM


Uhamisho wa Makatibu wa Mikoa 
1. Alhaj Kundya alikuwa Unguja mjini sasa hivi anahamishiwa Mkoa wa Mbeya, 

2. Sengerema alikuwa Mkoa wa Mbeya anahamishiwa Mkoa wa Shinyanga, 


3.Adam Ngallawa alikuwa Shinyanga amehamishiwa Mkoa wa Mara, 


4. IDD AMME alikuwa Tabora amehamishiwa Mkoa wa Kagera

5. Aliyekuwa Kagera Mushi amehamishiwa, Mkoa wa Katavi

6.Masunga wa Mwanza kahamishiwa, Mkoa wa Pwani.

7.aliyekuwa pwani kapelekwa kahamishiwa  Pemba   

No comments:

Post a Comment