TANZIA YA MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI KHAMIS MGEJA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA NGA





MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA HAMIS MGEJA ALIYEVAA KIBARAGASHIA.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Shinyanga ndugu Khamis Mgeja anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi  Halima Mwananchimika kilichotokea leo (Jumanne) asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo saa saba mchana   Jumatano nyumbani kwao huko Kahama mkoani Shinyanga.

Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki popote pale walipo
 


Post a Comment

Previous Post Next Post