sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WANANCHI WA LALAMIKIA MAJI,UMEME KAHAMA YAWA KERO KUBWA SIKU TATU

 Baadhi ya kinamama wa kata ya igomelo wakiwa katika heka heka ya maji katika halmashauri ya mji wa kahama na vitongiji vyake kukukosa maji kwa zaidi ya siku tatu mfururizo sasa  wakina na ndoo za maji bila ya mafanikio
 Hii ndiyo haza ya maji kahama kama jinsi wakinamama wanavyoangaika na zoezi la maji katika mji wa kahama .

 Wakinama wa kata ya Nyihongo wakiwa wamekalia ndoo zao hawajui hatima yao ya maji kwa siku ya leo na wasijui la kufanya .

Baadhi ya kinamama walifika katika kisima kimoja malungu kwa ajili ya kupata maji toka alfajiri bila mafanikio yoyote wakiwa na watoto wao .huku jua likiwapiga
  
.
Wananchi wa wilaya ya kahama mkoani shinyanga wamelamikia Tatinzo la maji kukati bila taarifa zozote toka mamlaka husika ya maji zaidi ya siku mbili bila ya tarifa yoyote ile .

Haya yemesemwa na wakazi wa kata ya malunga ,igomelo ,nyanhanga , na kahama  mjini, wakati wa kutafuta maji katika sehemu mbalimbali za maeneo ya kahama .

Mkazi moja ambaye alijitabulisha kwa jina la mama Athumani (fatuma)katika eneo la kisima cha igomelo makaburini alisema kuwa wilaya ya kahama inatatizo kubwa sana la kukatika kwa maji pindi chote chote kile maji wanakata bila taarifa yoyote ile kwa kweli hili ni tatizo sana unaweze kuona maji hakunas kesho umeme hakuna hata siku tatu au nne jambalo ni kero alisema Fatuma .

Aidha kwa upande wa maeneo ya nyahanga hapa mjini imekuwa kero kubwa sana hapa mtu yoyote hukimuliza jambo ambalo mtu wa kahama linamchukiza basi ni maji na umeme kero kubwa .

“hebu fikiria maji leo yana siku tatu mji kubwa kama huu hakuna hata taarifa zozote juu ya suala hili la maji wa umeme sijui wanatonaje sisi watu wa kahama hii kero sana hata hawa wakubwa kuna la kueleza.’’

Baadhi ya maeneo ya mjini mkazi moja  juma ally amesema kuwa maji na umeme kwa kahama imekuwa kama janga jambo ambalo ni kitaifa kwa kahama leo hii umeme umekati kahama siku tatu bila majibu kutoka kwa meneja lakini kwenye matangazo ya kulipa bill za maji na umeme wanapita na magari usiku kucha.

“hebu jiulinze hizo hela za matangazo wao wanazipata wapi ?Wakati maji hakuna au kuna tatizo lolote la maji aume kwanini wasitutangazie wananchi wakaifazi hayo maji kuliko kukatika tu maji aume bila kutoa taarifa hii ni hatari sana alisema juma Ally .

Kwa  upande wake meneja wa mamlaka ya maji wilaya kahama Eng Joel Rugemarila ,alisema kwa njia ya simu toka iringa kuwa tatizo la kukatika kwa maji ni kwenye chanzo cha  maji ilehele ,umeme kule umekuwa ni mkubwa kiasi ambacho kinawenza kuleta madhara makubwa na kuona mafundi kuzima mashine hizo za maji na kuita mafundi toka tanesco shinyanga kwa ajili ya matengenezo hayo alisema Eng. Joel Rugemarila.

Na kwa upande wa meneja wa tanesco wilaya  sule kabati     amesema kuwa tatizo la umeme kahama ni mvua kuwa kubwa na upepo ambapo nguzo zetu uhanguka na kuharibifu mkubwa wa miudo mbinu ya umeme kuharibika na kufanya kazi kuwa ngumu sana kuinua nguzo hizo za umeme,hunajua suala la umeme kahama wa kati mwingine ni kutoka katika njia kubwa ya umeme mimi sina jibu kwa hilo ni mambo ya kiutalamu hayo kutoka huko kwe chanzo cha umeme kidato .alisema Eng Sule kabati, alisema. 

Mwisho  


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply