sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MARK II AUWA MWENDESHA BODA BODA KAHAMA

 MATUKIO YA AJALI YA MWENDESHA BODA BODA KATIKA PICHA KAHAMA .
 PIKIPIKI YA DEREVA BODABODA ILIVYOKUWA NDANI YA MFEREJI BAADA YA KURUSHWA KWENYE MTALO
 BAADHI YA WANANCHI WAKIANGALIA PIKIPIKI ILIVYOTUPWA KWENYE MTALO HUKU NYUMA IKIONEKANA GARI HIYO
 UMATI WA WAKAZI WA IGOMELO WAKISHUHUDIA AJALI HIYO
 HII NDIYO GARI ILIPATA AJALI YA KUGONGA MWENDESHA BODABODA NYENYE NAMBA T915CTU .
 BAADHI YA WANANCHI WAKIANGALI NYUMA GARI HIYO .
 HII NDIYO KIJIWE CHA MAREHEMU CHARLES DAUD JILALA MAENEO YA IGOMELO .
 MKUU WA USALAMA BARABARANI ROBERT SEWANDO AKIANDIKA MAELENZO TOKA KWA MASHUHUNDA WA AJALI HIYO .
 BAADHI YA WAKAZI WA IGOMELO WAKISHANGA JINSI AJALI HIYO ILIYOTOKEA .
 MWILI WA MAREHEMU  CHARLES DAUD JILALA UKIWA UNAPELEKWA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHI MATI KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA KAHAMA







KAHAMA  
Kijana moja alitabulika kwa jina la Charles  Daud mkazi wa igomelo miaka (32)wilayani kahama mkoani shinyanga .

Amefariki  hapo hapo kwa kugongwa na gari  ndogo aina ya mark 2 namba T915 CTU Mali ya AHMEND Rendis ,eneo la igomelo akiwa akiendesha pikipiki  toka igomelo Majira ya jioni saa 12.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo Gidion Yakobo alisema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa hilo gari lilokuwa linatoka eneo la mazense kuja mjini lilipofika eneo hilo likuwa linakwenda upande upande wa kuli ambapo kijana huyo alikuwa na abiri akimshusha na kupewa nauli yake wakati nachukua hela dipo gari hilo lipo wangonga.

Akifafanua zaidi Gidioni alisema kuwa hiyo gari hilo likuwa mwendo kasi sana jambo ambalo kila mtu alishangaa mimi nipo hapa igomelo napaki naye hapa huyu marehemu kwa karibu sana kwa kweli huyo mwenye hiyo tax namba T915 CTU na kusema huyo dereva alikimbia kuona hali imekuwa tabu.

Aidha kwa upande wa mashunda wengine ambaye ni mwenyekiti wa ccm kata ya malungu Dornad Igulu alisema kuwa barabara hii ya igomelo imekuwa ni tatizo ni nzuri madereva  wanakimbia sana bila kujali waendeshaji wa pikipiki na waenda kwa miguu na hata kujali watoto wa shule alisema igulu.

“Hunajuwa hili barabara kwa mwaka huu kuna watu zaidi ya wanne  wamekwisha poteza maisha hii ni kwa sababu ya  kukosa matuta,kumekuwa na kero kwa watembea kwa miguu hiyo tunaomba serikali kulingali kwa ukaribu suala hili .alisema Mwenyekiti huyo wa ccm kata ya malunga”.

Na kwa upande wao wananchi wa eneo hilo la igomelo wameoba mkurungezi wa Halmashauri ya mji kuweka matuta kwani kuna siku haya magari yatakuja kufanya ajali mbaya sana ,hili suala bila kulitilia maanani ni hatari sana walisema wananchi hao kwa hasira kali sana .

Aidha kwa upande wake jeshi la polisi wilaya kahama limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa wa ajali anashikiliwa na jeshi la polisi juu ya tukio hilo la ajali.

Kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga Justus kamungisha kuthibitisha kwa ajali hiyo na kumtaja marehemu Charles Daudi jilala mkazi wa igomelo ajali hiyo ilitokea majira ya jion na aligongwa na gari T915 CTU mali ya Ahmend Rendis mkazi wa kahama.

Aidha kamanda kamungisha amesema uchunguzi hukishakamilika mtuhumiwa hatafikishwa makamani kujibu shitaka lake hilo.
Mwisho .

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply