sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » VIONGOZI MBALI MBALI WAUDHURIA MAZISHI YA KAPTEN JOHN KOMBA LEO


 Mh Edward lowassa akiwasili kutoka nyasa  katika kijiji cha lituli kuna maelfu ya wanachi wamefika katika kijiji hicho kwa ajili ya mazishi hayo.

 Karibuni Mh lowassa akingia katika kijiji cha lituli.
 Baadhi ya viongozi wa serekali wakiwa katika eneo ambalo limepangwa kwa ajili ya kupumzika na kuanza mazishi hayo .
Marehemu kapten john komba kabla ya mauti kumfika siku ya jumamosi jiji dar.

Kukana nyansa kijiji cha lituli watu wasipungua zaidi elfu moja waohudhuria mazishi hayo katika mazishi hayo baadhi ya viongozi walidhuria mpaka sasa ni Endward lowassa,spika wa bunge.Anna makinda,mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga khamis mgeja ,mwigulu mchemba,Jenife mhangama ,Abdurhahman kinana na baadhi ya viongozi toka Zanzibar mazishi hayo nafanyika saa kumi kamili leo.   

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply