sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MAELFU YA WAKAZI WA MAENEO YA BARABARA KUU TOKA TANGA KWENDA DAR WAZUI MGOMBEA URAIS CHADEMA EDWARD LOWASSA

 

 Mgombea Urais Edward Lowassa  asimamishwa tena maeneo ya Machungwani, Tanga na wananchi wenye kiu ya mabadiliko 
  Hivi ndivyo Muheza Tanga walivyosimamisha na Kufunga  msafara wa mgombea Urais Edward Lowassa
 Korogwe  Hivi ndiyo Wananchi wa Korogwe walivyojipanga barabara ni wakimsubiri mgombea Urais Edward  Lowassa katika barabara kuu ya Tanga Dar
 Wakazi wa Mkata waliokuwa wakimsubiria Mh Edward Lowassa, baada ya kupata taarifa kuwa anatumia njia ya barabara.
 Wakazi wa Muheza wakiwa juu  ya maroli kuangalia  msafara ya Mgombe Urais wa CHADEMA, Mh Edward Lowassa .

 Pamoja na ulinzi kuimarishwa jeshi la polisi lishindwa na umma wa wakazi wa mji wa korogwe

  Korogwe ikisema YES hakuna wakusema NO,wako tayari kwa mabadiliko 
 Tunamsubiri mpaka Tumuone Rais Wetu ,Hizi pikipikpi zikiwa zimepaki eneo la barabara kuu ili kumuona mgombea Urais Edward Lowassa akitokea Tanga kwenda Dar
 Wakazi wa Mkata waliokuwa wakimsubiria Mh Edward Lowassa, baada ya kupata taarifa kuwa anatumia njia ya barabara.
 Wakazi wa Mkata waliokuwa wakimsubiria  Edward Lowassa, baada ya kupata taarifa kuwa anatumia njia ya barabara.
 Hivi ndivyo Muheza Tanga walivyosimamisha msafara wa Edward Lowassa wamueleze matatizo yao
 Wakazi wa Muheza wakizuia msafara ya Mgombe Urais wa CHADEMA, Mh Edward Lowassa kwa lengo la kumueleza kero zao.za maji na jia ya Usafiri wa Reli

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply